uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
  2. Planett

    Uhaba wa chanjo kwa watoto wachanga

    Ramadhan kareem kwa ndugu zangu waislamu, Wakuu kuna hiki kitu nimekutana nacho huenda ni kawaida ila kwa miongo zaidi ya mitatu niliyopo hapa duniani ndio naona kwa mara ya kwanza. Ni hivi, mke wangu kajifungua na ninavyojua (huenda nikawa sipo sahihi) kuna ile chanjo ya begani hua hua mtoto...
  3. beth

    Mbunge Tabasamu: Kuna uhaba wa walimu lakini hamtaki kuajiri

    Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea...
  4. Analogia Malenga

    Hata nje kuna uhaba wa ajira, tukomae hapahapa

  5. K

    Uhaba wa Lactogen Formula 1 pigo kwa wafanyakazi wenye watoto wachanga

    Jumuia ya akina mama wafanyakazi wenye watoto wachanga huwanywesha watoto maziwa f1 na kuwanyonyesha wanapotoka kazini. Moja ya f1 iliyozoeleka ni lactogen toka Kenya au France. Ni wiki ya 2 sasa nimeshindwa kupata maziwa hayo madukani kwa mtoto wa ndugu yangu Dar. Amejaribu agiza mikoani...
Back
Top Bottom