uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  2. Webabu

    Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

    Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani. Hayo yamesemwa na waziri wa Nishati wa nchi hiyo bw.Habeck ambaye pia ni naibu chancellor wa nchi hiyo. Katika ufafanuzi wake...
  3. Artifact Collector

    Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  4. BigTall

    Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  5. Analogia Malenga

    Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  6. tang'ana

    Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  7. Miss Zomboko

    Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  8. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani. Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine...
  9. Sky Eclat

    Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
  10. comte

    Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  11. K

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

    Wakuu Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna. Wahusika jitafakarini.
  12. Stroke

    Waziri na Naibu Waziri wa Ardhi naomba muangalie uhaba wa wenyeviti mabaraza ya Ardhi

    Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa. Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
  13. Idugunde

    Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

    Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao. Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
  14. sky soldier

    Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

    Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
  15. B

    Ni kweli kuna uhaba wa mabomba ya kuchomea chanjo za kwanza za watoto wachanga mkoani Geita?

    Wadau, Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya kuzuia polio lakin chanjo nyingine hawezi kupata. Wahudumu hao ambao walinisubirisha kwa zaidi ya...
  16. U

    Uhaba wa sukari mzuri kwa Afya na kupunguza kisukari

    Taifa lenye Afya linaweza kuwa na maendeleo, na ni jukumu la serikali kuhakikisha Wananchi wake Wana afya. Moja Kati ya magonjwa hatari sana yanayoikumba Tanzania ni Kisukari, ugonjwa huu unatokana na matumizi makubwa ya sukari ambayo pamoja na vyakula Kama wanga, na bidhaa zinazotengenezwa na...
  17. Mystery

    Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  18. Idugunde

    Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  19. beth

    Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula nchini Somalia

    Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutafuta Chakula, Maji na malisho kwa ajili ya mifugo yao. UN...
  20. Fbn

    Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
Back
Top Bottom