uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ina uhaba wa wawekezaji?

    Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa. Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano ukisikia mji umekua kwa kasi basi jua tu ni wakazi ndio wameongezeka na wanaanza kufungua frame na kujenga...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

    Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake, Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhaba wa watumishi wa afya unavyochochea rushwa Maswa

    Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya. Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

    1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza. 2. Inabid watu wapige mbichi ku-kutembelea rim. 3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Katimba: Serikali Imeendelea Kuchukua Hatua Kupunguza Uhaba wa Walimu

    MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa fedha wakwamisha vikao vya Bunge la Afrika Mashariki

    Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya deni hali iliyoathiri vikao vikao vya bunge vilivyokuwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba wa watu wenye Akili haiwezekani .

    Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa BoT kuhusiana na upotevu wa Sarafu za Sh 500, 200, 100 na 50

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila kona ya nchi hasa sehemu za starehe Huwa Sarafu hizi zinaibiwa kwa lengo la kwenda kuyeyusha ili...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

    Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo. Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
  15. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa maji mtaa wa Simba, kata ya Kilungule Bunju Beach

    Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki? Inatulazimu kununua maji kwa...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

    Assalam Aleikum, Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro). Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku...
  18. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria wajisaidia kwenye ndoo

    Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya. Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na stendi za mabasi na sehemu za biashara za vileo hali inayowalazimu kuwa na ndoo...
Back
Top Bottom