Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,533
2,000
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0. Rais Museveni amesema Wizara ya Afya itaelezea kwa kina matatizo yaliyoleta majibu hayo yasiyo sahihi.

Rais Museveni amenukuliwa akisema “Tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna wafanyakazi wachache Maabara na huenda walichoka”

======

Museveni says mass testing will decide Covid-19 lockdown ease plan

President Museveni has revealed that some of Uganda’s Covid-19 samples were erroneously confirmed positive.
The President said the error was due to the ‘carelessness’ of the Makerere testing laboratory.

According to the Ministry of Health, Uganda has 679 confirmed cases of Covid-19 with no deaths attached to the Coronavirus yet.

While addressing the Members of Parliament (MPs) and the country digitally from the State House on Thursday however, Museveni said that the Ministry of Health will come and clarify the issue as some of the cases were erroneously confirmed.

He said, “Some of the 679 confirmed cases were classified as positive when they are not by a laboratory in Makerere because they were careless. A few people were working there and probably got tired,”

If the number is reduced by the Ministry of Health, this will be the second time in one month that Uganda reduces its case count.

On May 20, 2020, following a Presidential Directive the Ministry of Health deducted cases of foreign truck drivers, reducing the case count to 145 confirmed cases at the time, down from 264.

In a statement released from the Ministry in May, they mentioned that the reduction followed President Museveni’s directive to deduct all numbers of foreign truck drivers who had tested positive at the different Points of Entry.

Police yourselves
President Museveni has also urged Ugandans to police themselves if the country is to win the fight against the spread of the Coronavirus.

The President said that the government will not continue asking Ugandans ‘to live’ because the health experts and his government have done their part of sensitizing the public about preventative measures against the spread of the Coronavirus.

“We cannot go on begging people to live. That we call the police to enforce the measures. All of us should enforce this on ourselves without having to bother the police,” Museveni said.

Source: Some COVID-19 samples turned positive by mistake- Museveni - Nile Post
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
389
1,000
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana >> tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna wafanyakazi wachache Maabara na huenda walichoka”

Museveni anatoa kauli hii ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Rais Magufuli aliposema vipimo vya maabara ya corona vina shida na kupelekea kuundwa kwa Tume ambayo ilithibitisha kauli ya JPM na hatua kuchukuliwa ikiwemo kuanza kutumika kwa Mabaara mpya, JPM alitoa kauli hiyo akiwa Chato May 03,2020 .

Rais Magufuli alisema>> "Kama tunapeleka Sampuli za wanyama bila wao kujua na zinakuwa positive inawezekana wafanyakazi wa Maabara wanatumika na Mabeberu, Kama mapapai, mbuzi wana corona, basi WHO wanapaswa kufanya kazi kubwa ya ziada, kwa hili lililotokea lazima Kuna watu wameambiwa wana corona wakati hawana"
 
mswaki mbuyu

Senior Member
May 28, 2017
187
250

Gademit
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,259
2,000
Huu mfanano huwa mnauona pale hoja inapoenda kinyume chenu . Nasikia hata Gwajima siku hizi mnasema hana sifa za uaskofu lakini alipokuwa nanyi hamkuwahi kuona hayo! Nyie kiboko aisee.
Usikariri

Gwajima hajawahi kuwa askofu.

Ni self proclaimed bishop ambaye wasiojielewa wanamuamini
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
4,854
2,000
Uganda tuna taarifa zao nao wanaficha taarifa za vifo watu wameshakufa.
Je Kenya ? Watu Kenya wanakufa kibao maana awatumii kujifukiza wapo wapo tu mlo mmoja kwa siku shida habari ya chini ya kapeti Kenya vifo vimefika 219
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom