Huu ni Ugonjwa gani?

nimechafukwa

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
287
227
Miaka ya nyuma nikiwa kijana nilikua na tabia flani ya kukaa kimya...

Naweza kumaliza siku nzima sijaongea kabisa na watu, meseji za watu nilikua si reply...yaani nakua na mood ya kutokutaka mazoea kabisaa na mtu yoyote...

Nilikua napendelea zaidi kujifungia chumbani..yaani nilikua na mind my own business sitaki kujua kumetokea nn wala sijui fulani kafanya nn....

Nilikua nikitaka kuongea na watu (kusocialize) lazima ninywe pombe....na nikinywa pombe nakua mtu tofauti kabisaa...napiga story sanaa na naenjoy....watu waliokua wananizunguka walikua wanapenda wanikute nimekunywa...

Wakinikuta na akili zangu walikua wanaboreka sanaa, mpka leo najiuliza ule ulikua ni ugonjwa gani???
 
Pengine sio ugonjwa ni akili yako tu umeamua kuwa hivyo!
Sometimes hawazungumzi sababu ya kuficha mambo yao, familia, marafiki, story mbaya n.k
 
unaendana na jina lako, anyways mimi pia nipo hivyo tokea mtoto, nikialikwa kwny bday sitaki kwenda na wala ctaki mazoea na watotobwa kitaa, na hadi sasa nipo hivyo sina shobo na mtu na kila mtu anajuabndio character yangu, so na ww itakuabni character yako tu haya usiwaze, being Common is boring

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaendana na jina lako, anyways mimi pia nipo hivyo tokea mtoto, nikialikwa kwny bday sitaki kwenda na wala ctaki mazoea na watotobwa kitaa, na hadi sasa nipo hivyo sina shobo na mtu na kila mtu anajuabndio character yangu, so na ww itakuabni character yako tu haya usiwaze, being Common is boring

Sent using Jamii Forums mobile app
excuse my spelling nimelewa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ugonjwa ninao saizi

Yaani ni mimi tu sitaki mazoea kabisa

Nikitoka kazini ni ndani, nje labda naenda kununua kitu cha maana, majirani siwajui hata jina, wananionaona na mimi nawaonaona tu

Sitaki shoboo hata kidogo. Sijajua kama ninatatizo lakini
 
Hio ugonjwa ninao saizi

Yaani ni mimi tu sitaki mazoea kabisa

Nikitoka kazini ni ndani, nje labda naenda kununua kitu cha maana, majirani siwajui hata jina, wananionaona na mimi nawaonaona tu

Sitaki shoboo hata kidogo. Sijajua kama ninatatizo lakini
Subir siku ukipata tatizo kubwa hapo ndani kwako huo ugonjwa utakuisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo jamaa yangu mikausho mikali? Anayways ngoja wataalamu wanakuja.
 
Subir siku ukipata tatizo kubwa hapo ndani kwako huo ugonjwa utakuisha...

Sent using Jamii Forums mobile app


are you sure that hapa dar es salaam unaweza pata tatizo jilani akakusaidia?

Hata kama mnashinda nae bar atakukimbikia nduki hata mpaka utashangaa

Mimi najitahidi kuishi mimi kama mimi, sitegemei msaada wowote kwa mtu zaidi ya wazazi wangu
 
Miaka ya nyuma nikiwa kijana nilikua na tabia flani ya kukaa kimya...naweza kumaliza siku nzima sijaongea kabisa na watu, meseji za watu nilikua si reply...yaani nakua na mood ya kutokutaka mazoea kabisaa na mtu yoyote...nilikua napendelea zaidi kujifungia chumbani..yaani nilikua na mind my own business sitaki kujua kumetokea nn wala sijui fulani kafanya nn....nilikua nikitaka kuongea na watu (kusocialize) lazima ninywe pombe....na nikinywa pombe nakua mtu tofauti kabisaa...napiga story sanaa na naenjoy....watu waliokua wananizunguka walikua wanapenda wanikute nimekunywa...wakinikuta na akili zangu walikua wanaboreka sanaa, mpka leo najiuliza ule ulikua ni ugonjwa gani???
Haya ni maradhi yatokanayo na shetani,na hutokezea pia mwathirika akachukia hata kuoga na pia kupenda hata kukaa giza totoro. Wakti mwingine huweza kwenda toilet akajikuta amesahau alichoendea!
 
Wewe ni antisocial na una impurities za depression ambazo Kuna siku zitakusukuma kwenye schizophrenia! Hiyo pombe unayokunywa inakusaidia kuboost mood tu na haikusaidii Sana kwani stimu zikiisha unairejea Hali yako ya mwanzo!
Kuondokana na Hali hiyo jitahidi kusocialize na usiipende Sana pombe isije kukusababishia addiction! Jichanganye Sana na hata sikiliza music utachange!
 
Back
Top Bottom