China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12

China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,643
Niliwahi Kumsikia mahala Mtaalam Mmoja akisema kuwa kama pakiwa pametokea tatizo / janga fulani ndani ya nchi husika hata kama juhudi zinafanyika za kukabiliana nalo na zimeanza kuzaa Matunda ila bado haipaswi kwa Kiongozi husika wa nchi Kusifiwa, Kupongezwa na Kupambwa kila Kona kwani Kupunguza kwa muda tatizo siyo ndiyo umeshalimaliza kimoja ( milele ) kabisa.

Kilichofanyika nchini Tanzania hakina tofauti na Kupanda Basi la kwenda Mwanza halafu hata hamjafikia Nusu ya Safari mmepata Breakdown za kutosha kama iliyozipata Klabu ya Yanga juzi ikienda Shinyanga huku mkiwa bado hamna uhakika na Safari yenu mnaanza Kubembea na kupiga Sarakasi hadi Misamba ndani ya Basi na Kumpongeza Dereva wenu kwa Uendeshaji wake mzuri.

Haya sasa tuendeleeni Kumpongeza, Kumpamba na Kumsifia kila Kona, ila taarifa iwafikie kuwa Ugonjwa umeibuka upya huko China kwa Kasi.

---

SHANGHAI (Reuters) - China reported 11 new COVID-19 cases and seven asymptomatic cases for June 12, the national health authority said on Saturday.

The National Health Commission (NHC) said in a statement that five of the new confirmed patients were so-called imported cases involving travelers from overseas.

The six locally transmitted cases were all in Beijing, the statement said.

The NHC reported seven confirmed cases and one asymptomatic case a day earlier.

The total number of COVID-19 cases in mainland China now stands at 83,075, while the death toll remained unchanged at 4,634. China does not count asymptomatic patients, who are infected with the virus but do not display symptoms, as confirmed cases.

China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12
 
Sisi hatuogopi tena kitu kinachoitwa corona, round hii tunaenda kufungua shule kabisa, sasa kama imerudi sijui kivingine watajua wao hao wa china

Sisi tunapeta tu
 
Unachoongea hakieleweki hebu funguka maana mara unasema mara Mwanza
 
Unachoongea hakieleweki hebu funguka maana mara unasema mara Mwanza

Kwa aina ya Ubongo wako huo uliojaa Mataputapu tupu huna uwezo wa Kuelewa nilichokiandika hivyo wapishe wenye Akili Kubwa wajadili Mada.
 
With our stupid way of handling corona,we will rip what we sow!

Wakati Kenya,Rwanda na Uganda zipo serious combating this covid-19 like professionals,watavuna mazuri waliyopanda!

Tanzania ni incubator ya covid-19,ndio tunakaribia kuiva,siku tunadondoka 1,000 death per day kama Brazil ndio tutaelewa vizuri!

Majitu yapo hapa kumsifia kototo na njia yake ya kusali na kunywa maji chumvi.....unajua nchii hii ina vichaa fresh kabisa!
 
Wapumbavu watakuja kupinga hili

Nawasubiri Ndugu ila ukweli ndiyo huo na Siku zote ukweli haujawahi kuwa Mtamu hasa kwa Yule aliyelengwa nao na lazima tu utakuwa Mchungu.
 
Haya sasa tuendeleeni Kumpongeza, Kumpamba na Kumsifia kila Kona, ila taarifa iwafikie kuwa Ugonjwa umeibuka upya huko China kwa Kasi.
Tatizo lako una chuki
Tutaendelea kumpamba tu,umeshaambiwa corona tuishi nayo tu kama ukimwi au Tb
 
With our stupid way of handling corona,we will rip what we sow!

Wakati Kenya,Rwanda na Uganda zipo serious combating this covid-19 like professionals,watavuna mazuri waliyopanda!

Tanzania ni incubator ya covid-19,ndio tunakaribia kuiva,siku tunadondoka 1,000 death per day kama Brazil ndio tutaelewa vizuri!

Majitu yapo hapa kumsifia kototo na njia yake ya kusali na kunywa maji chumvi.....unajua nchii hii ina vichaa fresh kabisa!

Umeandika na Kuelezea Jambo vyema kabisa na kwa Utaalam wako ila najua Wapumbavu wa Praise Team sasa wanaweka Bando zao Kutukoga.
 
Tatizo lako una chuki
Tutaendelea kumpamba tu,umeshaambiwa corona tuishi nayo tu kama ukimwi au Tb

Ukiona sehemu yoyote au mahala popote Mtu anakusema basi jua ndiyo anakupenda na wale wanaokusifia ndiyo Maadui zako Wakubwa sana tu.
 
Kuna taarifa ilitoka kuonesha zoezi la kuzika usiku limeanza upya.

Na madaktari wamekiri kuongezeka kwa maambukizi
 
Kuna taarifa ilitoka kuonesha zoezi la kuzika usiku limeanza upya.

Na madaktari wamekiri kuongezeka kwa maambukizi

Ninachojua tu ni kwamba Siku Ugonjwa ukiamua sasa kuanza Kutupukutisha Watanzania, hakutakuwa na Mpigiwa Kura wala Wapiga Kura tena.
 
Ukiona sehemu yoyote au mahala popote Mtu anakusema basi jua ndiyo anakupenda na wale wanaokusifia ndiyo Maadui zako Wakubwa sana tu.
Kwa hiyo sie tunaowasema chadema ni wazinzi tunawapenda,na nchi za magharibi zinazowasifia kumbe haziwapendi
 
Kumbe kusifiwa tu!
Mbona hata wale madaktari wa china walisifika sana tu.. Tena walikuwa wanarudi kwa shangwe na ngoma hiyo hapo tena!.
Kusifiwa kupo tu na wanaokusifia huwezi wazuia kikubwa ni kuwa nauangalifu...

Hivi unaweza kuniambia kinachoendelea marekani ni sahihi tena kuna maambukizi makubwa tu!
Na wanajisifu vipimo vyao ni vizuri lkn ugonjwa hauna tiba na maandamano ndo hayaishi... Ukitaka kujua nguvu ya huu ugonjwa anza kuangalia familia za madaktari na viongozi wakubwa
 
Nimeamua kurudi tena kwenye suala la Corona? Mbona sisi tumesha sahau?!
With our stupid way of handling corona,we will rip what we sow!

Wakati Kenya,Rwanda na Uganda zipo serious combating this covid-19 like professionals,watavuna mazuri waliyopanda!

Tanzania ni incubator ya covid-19,ndio tunakaribia kuiva,siku tunadondoka 1,000 death per day kama Brazil ndio tutaelewa vizuri!

Majitu yapo hapa kumsifia kototo na njia yake ya kusali na kunywa maji chumvi.....unajua nchii hii ina vichaa fresh kabisa!
Mivi movie ya mwenye kiti wenu inaendelea vipi?
Chadema mwaka huu mutakufa na kihoro.
Wananchi hatuwaeleweni hata kidogo, siasa hizo ziliishia kwa Rais wa awamu ya 4, ila huyu wa sasa, mutaendelea kujambia kwenye maji tu.
 
Iweke hapa tuione, lasivyo itakua ndiyo yale yale, ya mwenye kiti wenu.
Ameakunguka na kuteguka kisigino kwa kushindwa kupanda ngazi kuliko sababiswa na ulevi, akasingizia kavamiwa na kupigwa na watu alie waita wasio julikana, ili apate huruma ya Wananchi.
Kuna taarifa ilitoka kuonesha zoezi la kuzika usiku limeanza upya.

Na madaktari wamekiri kuongezeka kwa maambukizi
Nakuhakikishia mwaka huu chadema, mutakunya mavi ya kila rangi, lkn haita wasaidia kitu.
 
Nimeamua kurudi tena kwenye suala la Corona? Mbona sisi tumesha sahau?!Mivi movie ya mwenye kiti wenu inaendelea vipi?
Chadema mwaka huu mutakufa na kihoro.
Wananchi hatuwaeleweni hata kidogo, siasa hizo ziliishia kwa Rais wa awamu ya 4, ila huyu wa sasa, mutaendelea kujambia kwenye maji tu.
Pale siasa inapowashinda bwana

Naona mmegukia government apparatus ziwasaidie kumdhibiti Mbowe.

Mmekuja na TAKUKURU this time,you will fail...Mbowe is smarter than all of you put together!

Movie ya kujaribu kumtoa uenyekiti,hazikuweza,movie ya kuvamia mali zake haikuweza,movie ya kununua wabunge wake haikusaidia.

Movie ya TAKUKURU inafeli maana ni ya kutunga,na wao wamejipanga intellectually,watawazidi points na mamluki yenu ya Takukuru

Then mkamsukuma kwenye ngazi aumie,picha tu za hospitali ni legendary,kapata points za kutosha,nyie mmebaki na upumbavu wa akina Ndugai na Lijuakali na maigizo ya press ya polisi of which everybody laughed out.

Mnazidi kupoteza point,na soon mtajiona mlivyo wajinga!

Then,itakuja kampeni,mtafunikwa sana

Itakuja uchaguzi,mtategemea polisi nchi nzima,polisi ni wachache hamtaweza simama vituo vyote,therefore wasimamizi kwa usalama wao watende haki tu maana watauwawa wote...na haya mauaji mtalalamikiwa nyie

Fanyeni siasa,na hoja za kisiasa jibuni kisiasa,Kikwete alishawashauri siku nyingi

Kazi za siasa usipeleke polisi kukusaidia,kuna limitation!

Good luck!
 
Back
Top Bottom