ughaibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ughaibuni kuna majini wengi majumbani kupelekea nyumba nyingi kutelekezwa

    Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo. Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Angalia jela hiyo ughaibuni

    Inaitwa Justice Center Leoben, iko Austria ni jengo ambalo lina mahakama pamoja na jela. Aliyeli -design architect anaitwa Josef Hohenssin likakamilika 2005. Lina uwezo wa kuweka wafungwa 205 na limejaa wafungwa 205 lengo la kujengwa gereza zuri hivyo ni kusimamia Kwa vitendo na kuonyesha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume from Afrika Magharibi wanatokomea ughaibuni

    West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha. Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki niende naye ughaibuni

    Umufia kwenu wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani. Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

  6. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  7. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata remote jobs hasa ughaibuni

    Habari wakuu, Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia. Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani. Wenye experience na hii mtusaide kama kuna links za job advert na muongozo jinsi ya kupata.
  8. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania wengi wanaoishi / kusoma ulaya na Marekani hawapeani kampani, Wakenya ndio kimbilio la watanzania wengi ughaibuni

    Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Najuta kurudi Tanzania baada ya kuishi ughaibuni miaka 28

    Jamani wanajamiiForums, kwanza na wasalimia kwa heshima zote. Leo nakuja na story moja ya ukweli ya mzee mmoja aliye amua kurudi nyumbani baada ya kuishi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 28. nimekutana na huyu mzee akiwa kijijini kwake huko mkowani Shinnyanga, kwenye kimji kidogo kina itwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wacheni kutembeza masuti ughaibuni

    Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu. Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu. Viongozi wetu mnaenda kufanya...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

    🇹🇿🇿🇦mzee baba 🇹🇿🇿🇦🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............🇹🇿🇿🇦💢💢 Ally Alawi amefariki tanzania 🇹🇿...... Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini 🇹🇿🇿🇦💢💢💢💢 Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Waganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta

    Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta. Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na vijana waliosomeshwa na Uganda. Cha ajabu mradi wa mafuta wa Uganda unaajiri hadi watanzania. Mradi wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe alipiga bunge tatu bila akiwa ughaibuni

    Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world. Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  16. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  17. ryaniza

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  19. Masangutu

    JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
  20. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nimechoka maisha ya ughaibuni

    Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna...
Back
Top Bottom