Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo,
Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi...
Sehemu hii ya pili pia ni mfano hai,
Angalizo
Haya maandiko ni sehemu ya kupata Elimu kwa wanao,walio na watakao.
Katika sehemu ya kwanza tuliona mfano mmoja lakini takwimu zaonyesha ni maelfu ya watu hukumbwa na mikasa inayofanana na mfano ule.
Kimsingi si waTanzania pekee,bali ni Afrika kwa...
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye anakimbia au akijua kwenye mashindano Sisko yupo jamaa hashiriki hayo mashindano.
Sasa bwana jamaa hapa...
Wakuu
Masiku kadhaa yaliopita nilipatana na kìjana mmoja mwenye uraia wa USA na mwenye asili ya Afrika.
Tulipata kuzungumza mawili matatu nilimsikia akisema amekua na shauku kubwa sana kujua chimbuko lake.
Ameonekana mwenye furaha sana kuwa sehemu ya Africa
Alienda mbali kwa kusema...
Salaam!
Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini.
Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki?
Pamoja na vitisho vyote na kujipa vyeo vikubwa, kwanini huwa hawaji wao front, hutuma na kutanguliza wengine...
Habari wakuu.
Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata...
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima,
Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
Wakuu,
Kumbe zile kazi za ughaibuni ndo zinakuwaga hivi? katika pitapita zangu huko nimekutana na hii video binti wa kiafrika akiwa mfanyakazi wa ndani anavyokaripiwa na watoto wa boss, watoto wenyewe ni wadogo inayofaa kumuheshimu kama dada yao
Mara nyingi huko mitaani kwetu rafiki, dada au...
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali.
Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
Mamia kadhaa zaidi ya watu wa Gaza wamehamia ughaibuni kimya kimya wengi wao wameenda Indonesia 🇮🇩
Israel inafanya kila iwezalo kuwezesha maono ya Rais Trump kuhusu Gaza kuna wajinga wengine wanasema hilo haliwezekani wakati sasa hivi linatekelezwa!!
Nchi zilizochukua wahamiaji wa hivi...
Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk
Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea...
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba...
Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea masaa kw simu kwa nguvu zote kama roho inakata😡😡😡😡😡 na hajali Kama kuna watu wengine na ambao pia...
Wanabodi,
Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?.
Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.