Mpenzi wangu hataki niende naye ughaibuni

Jul 7, 2023
28
36
Umufia kwenu wakuu,

Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani.

Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale ambazo nyingi alikuwa anazijua. Na ghafla nikapata mishe ya kwenda ughaibuni kwa kipindi cha miaka miwili. Hii mishe inaruhusu mtu kwenda na wategemezi wake. Mimi nikaona niongee na mama mtu ili twende wote.

Aisee huyu mrembo kanichomolea, kasema hataki kwenda. Sasa nawaza nimuache, niende zangu nikachukua mrembo wa ughaibuni nirudi naye au nichukulie poa. Fikiria miaka miwili nikae mbali, lazima nitafanya mambo yangu, na yeye najua kuna mlevi atakuja kumkaza, aisee nimekwazika nawaza nimuacha kama kupata wa kuoa natamani nipate mwingine ili tuende wote, au kama vipi nikapeperushe bendera ughaibuni

Wadau mnaniambiaje. Natarajia kukaa ughaibuni kwa miaka miwili, na kiukweli sitamani mrembo wa ughaibuni ila naona kama nalazimika iwe hivyo.

Naombeni ushauri wenu. Kataa Ndoa huu uzi hauwahusu
 
chukua mmoja kati ya hawa Nakadori To yeye Financial service au Numbisa
 
Achana na hyo takataka mazee kapige mishe zako uweke faranga kibindoni.

unaweza kwenda nae akaishia kuwa kero tu

Unaweza ukaenda nae ukakuta visu huko ughaibuni ambao wapo aggressive na utafutaji ukajuta kwenda na goalkeeper

Unaweza ukaenda nae ukapata ramani nyingine za kipesa lkn yy akawa kama kikwazo Cha ww kufanya free movement

Unaweza ukaenda nae akakuletea sera za ajabu hawaishiwagwi vimbwanga
 
Back
Top Bottom