Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Mar 3, 2023
16,803
51,972
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......

Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....

Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
 
Mfumo huo, hauwezi hauwezi saidia hapa bongo..!! Waza hii.. MTU MWENYE WAKE WANNE HUWA HACHEPUKI..!!??
 
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......

Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....

Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??

Ni mounbav pekee atakae ruhusu hayo yatokee kwenye ndoa yake. Hakuna kitu kinaitwa open mirrage
 
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......

Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....

Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
Hyo nchi haipo ispokuwa kuna ndoa za mikataba , mkataba ukiisha na bado mnashibana basi mnarenew...!!
 
😳 Mmmh..!

hata kubadilishana wake (swapping) iko huko kwao, je unataka na huku pia tuige hivo vitu?
 
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......

Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....

Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??
Unajua mnyama pekee anayefanya hivi? Bila kuwa na wivu wala kuleteana shida na dume jengine? Ni NGURUWE PEKEE .

Na imethibitika kuwa chakula unachokula hasa nyama zina effect kubwa sana kwenye personality yako yaani chakula kina nafasi kubwa sana kukuathiri tabia yako pamona na hisia ndiyo maana wanaokula nyama nyekundu huwa na hasira sana kulinganisha na wasiotumia nyama nyekundu.

CHUNGA SANA UNACHOKULA .😐
 
Back
Top Bottom