Vijana wengi wa kiume from Afrika Magharibi wanatokomea ughaibuni

Riskytaker

Senior Member
Mar 14, 2024
168
732
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.

Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
 
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maish

Uoga au pesa na kutojua kiingereza ?
 
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maish

Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Labda bara Zanziber hakuna family ambae haina mtu Europe America na kwengine imefikia hata Ukisema tu mtanzania wanakuuliza Zanziber??? Kumbuka 2005 waliondoka zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja ..kipindi kile UK hamna visa na ndio sababu wakatuwekea visa...na hawaja simama wanasafiri kila leo..ila bara mhhhh kazi kujiona wazungu ni nduguzao kwavile wanachangia ukristo..kazi kwelikweli.
 
Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.

Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
 
Kenya kweli Kuna ukabila hatari
 
Sasa Ukristo unahusikaje hapo wewe Hayawani na Gaidi unaevaa Kobazi??😏😏
 
Wa Tanzania wanaongea sana ila wanakiwango cha juu cha ushamba hata ikitokea kapata nafas kasepa shida anawaona wengine wote wajinga yeye tu ndo mwenye akili
 
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.

Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
90% ya hao vijana wa Africa magharibi unaowaita wapambanaji sijuwi wanakwea pipa kwenda ughaibuni, ,hutumia njia za panya kuingia ulaya,,..

Wengi wao hupitia Niger,libya kwa njia haramu ya bahari kuelekea italy,spain kwa njia za panya.
Hakuna wanaojuwa usafiri wa ndege wala embassy za ulaya.

Tanzania vijana wanasafiri sana tu,,
Ukitaka kuona Watanzania wanasafiri sana ,,nenda airport utajionea Kwa macho.
 
Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.

Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
Kuhusu umaskini wa kutisha hata hapa Tanzania upo! Ila tofauti yetu na wao ni ustahimilivu sisi tunaridhika na hali tuliyonayo wakati wenzetu hawakubali hiyo hali.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wa Tanzania wanaongea sana ila wanakiwango cha juu cha ushamba hata ikitokea kapata nafas kasepa shida anawaona wengine wote wajinga yeye tu ndo mwenye akili

Wewe una Akili sana ujue, yaani hapohapo.
 
Tatizo pesa kutoka nje bila milioni Tano haujatoka,safari ni pesa.
Wangapi wanawezamudu gharama
 
Dream ya kila kijana wa kiafrica ni kuzamia Ulaya hii ni tafsiri kudai uhuru tulikurupuka.
Tusingedai uhuru kila kitu na fursa wanazozikimbilia ulaya wangepata hapa hapa Africa.
Tulipigania kudai uhuru TU zoezi likaisha na sio Nini sasa baada ya uhuru.
Thus vyote vimekufa baada ya uhuru.
 
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.

Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Uongo issue sio lugha nchi za Amerika kuini hawajui kiingereza kabisa wanaongea kilatini na ndio wanaongoza kuzamia marekani
 
Kwenye lugha hapo nakaa.kwamba wanaogopa kusafiri kisa lugha.lugha unajifunza uki uko kulingana na mazingira .na wenyeji wako.kuna dogo nimesoma nae alikuwa kilaxa tu.akaenda sauzi.sasa hivi anaandika status za kiingereza.
 
Hio marekani tangu mataifa waanze kuzamia huko haijai tu maana dunia nzima kila mtu anataka kuzamia marekani sio wasomali waarabu waafrika nk.
Ngoja na Mimi nizamie
 
Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.

Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
True bongo maisha rahisi ukishindwa mjini unarudi bush kulima magimbi so uzamie mbele ili iweje
 
Hii ndio point ya msingi ujue kutoka nchi yako kwenda nchi za watu kutafuta maisha ni kujilipua ni lazima uwe umeshakata tamaa ya maisha. Sisi hapa kwetu tumelelewa kuleana leana hata ukikosa unga unaonba kwa jirani hii kwa sasa sijui kama bado ipo.
 
Back
Top Bottom