Msaada wa kupata host kwa wadau wanaoishi ughaibuni

Msaada wa kupata host kwa wadau wanaoishi ughaibuni

Teby feO

Member
Joined
Feb 5, 2024
Posts
6
Reaction score
3
Habari wakuu.

Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata kwa makubaliano maalumu yana ikiwezekana nikifanikiwa kufika huko nikapta kibarua basi atanikata pesa yake katika mshahara wangu pia nitamkabidh passport yangu kama dhamana mpka nitakapolipa deni langu lote.

Tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom