X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,395
- 14,277
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiueðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua haimsaidii hapo ndipo ndoto za kwenda ughaibuni zinapo zaliwa...!
Katika mapambano ya maisha huwezi kutumia njia alio itumia mtu mwingine kufanikiwa na wewe ukafanikiwa, Kila mtu Kuna namna anajiona kuwa mbeleni huko atakuwaje...! Picha ya nani unataka kuwa unayo wewe mwenyewe kichwani mwako...usijilinganishe na yeyote na Wala usitamani kuwa yeyote kwa kudhani ukipita njia aliyo pita yeye utafanikiwa kama yeye...!
Vijana wengi wakifikia hatua ya kukata tamaa huwaza kukimbia nchi zao na kwenda kutafuta MAISHA ughaibuni wakidhani kule watapata mafanikio ya haraka, haraka...! Huku wakiwa wanasahau kuwa tafsiri sahihi ya mafanikio ni kuridhika na kukitunza kile kidogo ulicho nacho...kama kidogo huwezi kukitunza ujue hata kikubwa hutoweza kukimiliki...!
Mafanikio ni uwezo wa KUMILIKI, siku utakayo weza kuwa walau na Laki 1 tu harafu usipate kimuhe muhe Cha kuitumia ukAihifadhi walau kwa muda wa mwezi tu... ujue umekomaa na muda sio Mrefu unaenda kufanikiwa...ila ukiwa mtu ambae ukishika PESA akili Zina kutoka Hadi hiyo pesa iishe ndio akili zinarudi...MY FRIEND USIENDE UGHAIBUNI 😂😂
Mimi ni miongoni mwa vijana ambao nilihangaika sana kuyatafuta maisha nikasahau kuwa maisha hayaitaji hasira, yanahitaji umakini na ukichaa kidogo😂😂😂
Vijana wengi tunafeli mno kwakuwa wengi wetu akili zetu zimefungwa na JERA hatari la AJIRA, tunasahau kuwa AJIRA haiwezi kufanya uwe tajiri ila zipo fursa kadha wa kadha ambazo ukizifanya kwa ufasaha unafanikiwa maishani...!
Vijana wengi tunapoteza muda mwingi kutafuta AJIRA, na wengi wa vijana wanao taka kwenda ughaibuni lengo lao ni kusaka AJIRA...!
Ndani ya nchi yetu Kuna fursa ambazo wakenya, wachina, Warundi, Wakongo wanazitumia na Zina watoa ki maisha...pindi ambapo unawaza kwenda kutafuta MAISHA nchi za ugenini Kuna watu hapa hapa nyumbani ni MATAJIRI na wametajilikia hapa hapa na hawajawahi kwenda hata Kenya Wala passport ya kusafiria hawana...!
Swala la AJIRA ni ugonjwa wa Dunia nzima Tanzania sio nchi ya kwanza ambayo inashindwa kutoa AJIRA... Marekani yenyewe Ina wamarekani ambao ni masikini wakutupwa Awana hata sehemu ya kulala...!
Nimezunguka duniani nimegundua kuwa nchi yetu imejaaliwa sana, Ina Kila kitu Cha kumfanya mtu atajilike bila kutegemea AJIRA...! Karibia nchi yote ya Tanzania ardhi yake Ina rutuba, tofauti na nchi jirani au nchi nyingine...!
Leo hii wakenya ni vinara wa kuuza mazao ulimwenguni huku mazao hayo wanayatoa Tanzania...ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Ni kushauri tu kijana mwenzangu USIENDE UGHAIBUNI KUTAFUTA badala yake tafuta pesa kwa kufanya biashara Kisha kupitia biashara zako vuka mipaka ukafanye biashara...! Toa bidhaa Tanzania peleka nchi zenye uhitaji...! Toa bidhaa huko lete Tanzania...!
UGHAIBUNI ukienda na pesa zako fursa nyingi utaziona, ila ukienda UGHAIBUNI kubahatisha maisha wewe ni sawa na mkimbizi...!