ufugaji

  1. Reen tz

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
  2. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  3. theriogenology

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  4. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  5. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

    Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa. Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Sera za ufugaji zimepitwa na wakati

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema "Ifanyike review (tathmini) ili twende na Ufugaji wa kisasa. Ranchi ya Taifa ambayo...
  9. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa samaki aina ya African Turquoise Killifish ukoje?

    Habari wakuu. Naomba kwa mwenye ujuzi jinsi ya kufuga samaki niiyemtaja anipe mwongozo. Pia Kama Kuna mwenye vifaranga vyake tafadhali. Natanguliza shukrani za dhati.
  11. babilas25

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia. 1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi...
  12. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  13. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia Kanuni hizi, basi ufugaji wa kuku utakunyanyua kiuchumi

    @farmersdesk_tanzania KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓 MBEGU BORA YA KUKU KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato. Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanapiga hela sana kwenye ufugaji wa konokono - majirani mnaoshinda kwenye pool table mna la kujifunza

    Hawa viumbe ni dili kali sana Ulaya, hivyo ukijiandaa vizuri kwenye kipande kidogo cha ardhi uwakuze, utapiga hela na kujiajiri na kuepuka hayo maisha ya milegezo kwenye pool table. Dr Paul Kinoti in a snail farm. TWITTER Farmers who have ventured into snail farming have been minting good...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa ufugaji wa samaki hizi nyaya ni za nini kwenye bwawa? Angalia picha

    Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria...
  17. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Huawei yageukia kwenye ufugaji wa nguruwe kutokana na kushuka kwa mauzo ya smartphone

    Habari! Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Ufugaji: Sababu za uhaba wa chakula

    Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe. Sababu za Uhaba wa Chakula 1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo Chakula hupandwa au kuzalishwa kutoka ardhini. Umiliki wa ardhi huimarisha tija ya kilimo kwani inaweza kutumika...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

    Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote. Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
  20. Amoeba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
Back
Top Bottom