MkulimaAgriClinic
Member
- Jun 30, 2021
- 5
- 14
Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi, usafirishaji, Usindikaji na uuzaji vimepunguza watu wengi kunywa maziwa. Biashara zenye ubunifu katika mnyororo wa thamani , inaweza kuwa na tija
Baadhi ya faida za ufugaji Ng'ombe wa Maziwa ni:
1. Ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa hautegemei mvua, uzalishaji hufanyika wakati wote; kiangazi na mvua
2. Bei ya maziwa, mara nyingi haishuki hata kama kutakuwa na maziwa mengi kuliko mahitaji
3. Mahitaji ya maziwa yanazidi kuongezeka kila siku. Ulaji wa bidhaa za maziwa pia unazidi kuongezeka
4. Kulinganisha bidhaa zingine, soko la maziwa ni rahisi kupatikana. Kwa kifupi gharama za kuuza maziwa ni ndogo kulinganisha na bidhaa zingine
5. Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ndiyo biashara pekee, kuna uhakika wa kupata kipato kila mwezi
6: Una faida kubwa, ng'ombe mmoja huweza kuzalisha maziwa kwa muda mrefu hadi miaka 5-7
7: Gharama za ulishaji ni nafuu kulinganisha na mifugo wengine.
Na Biashara ambazo unaweza kufanya katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni pamoja na:
1: Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa
2: Kutengeneza biogas system majumbani
3: Kusindika maziwa
4: Kukusanya, kuhifadhi na kuuza maziwa kwa wasindikaji/walaji
5: Kutengeneza mbolea ya asili itokanayo na kinyesi cha ng'ombe wa maziwa
6: Kutengeneza chakula cha ng'ombe wa maziwa
7: Kuuza mbegu za dume zenye jinsia moja (sexed semens)
8: Kutoa huduma za uhamilishaji (artificial insemination)
9: Kuuza mitamba ya ng'ombe ya maziwa
10: Kuuza pembejeo zingine kama mawe ya lishe, chanjo, madawa, vifaa/reagents za vipimo vya magonjwa
Tumeandaa kit inayoitwa MKULIMA AGRIBUSINESS KIT inakupa mambo yote kuhusiana na Ufugaji wote, miongozo ya ufugaji, mipango ya biashara na Michanganuo ya Gharama na Faida na mambo mengi kedekede
Pata KIT yako kwa tsh 19,999/=Tu- Whatsapp kwenye
+255621106923