ufugaji

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji Bora wa ng'ombe wa maziwa

    Kumekuwa na maswali kwenye jukwaa hili kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ,Mimi ni mfugaji wa muda mrefu nimeamua nitoe mchango wangu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Hapa nchini Kuna aina tatu maarufu za ng'ombe wa kisasa wa wa maziwa pia Kuna aina nyingine ila katika mizunguko yangu...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa

    Habari za muda huu wakuu. Naomba msaada wa kujua wanakupatikana Ng'ombe bora wa maziwa. Zaidi kwa mamahitaji ya ng'ombe mwenye mimba ambae hatachukua muda mrefu kuzaa. Nitaomba kujua 1. Aina na gharama za Ng'ombe 2. Mazingira au hali ya hewa sahihi kwa Ng'ombe 3. Ushauri kuhusu ustahimilivu na...
  3. Degelingi_One

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe

    Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
  4. Mhdiwani

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa nyoka

    FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana. Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya "snake venom " ipo juu...
  6. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  7. SACO

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo juu ya Ufugaji mkubwa kiasi kwa Njia za Kisasa

    Naomba kujuzwa juu ya ufugaji mkubwa wa ng'ombe. Nahitaji kuwa na ng'ombe kama elfu moja na mia mbili. Je, nitatakiwa kuwa na vibali vipi serikalini!? Je, ng'ombe wanaotoa maziwa mengi ntapatia wapi mbegu yakee? Na ni ukanda upi wa nchi yetu naweza kupata kwa gharama nafuu hekari 3600 !?
  9. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika ufugaji wa kuku

    Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja Changamoto Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa meng. Niliweza kuyatibu kwa wakati Ukuaji, niliambiwa wataanza kutaga wakifikisha miez minne.. lakn...
  11. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari za usiku huu wadau. Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana hatoshi mwanaume wa shoka kula, hiyo inaonekana soko la kuku hawa lipo ukizingatia upatikanaji wake...
  12. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  13. X

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

    Salaam, Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
  14. DAVID PALMER

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepata milion 4, nifanye finishing au niongeze eneo kufanya ufugaji?

    Wakuu. Habari zenu. Katika pita pita zangu za kusaka pesa, nimekutana na milioni 4. Sasa nashindwa nifanye kipi kati ya hayo mawili. Mi naishi Madale kwenye kibanda changu vyumba wiwili na sebule. Nimehamia nyumba haina finishing bado. Si marumaru, si plaster, na sakafu ni rough floor. So...
  15. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Ufuaji wa mseto wa samaki, wanyama na kilimo cha mazao ili kuongeza tija

    UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za shamba zinazoenda sambamba na ufugaji wa samaki ni pamoja na kilimo cha mazao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Wadau, Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie 1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Vijidudu Vidogo Vidogo (Effective Microorganisms) Kwenye Kilimo, Ufugaji na Samaki

    Utangulizi EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
  18. Ronee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji piglets (watoto wa Nguruwe) kwa ajili ya ufugaji

    Wakuu mada tajwa hapo yahusika, Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi (wa maziwa, nyama) njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo. Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu. I believe together we can go...
  20. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

    Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
Back
Top Bottom