ufugaji

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jiajiri kupitia ufugaji wa kuku

    Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu wengi kutokuona tija na faida katika ufugaji wa kuku.kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuku...
  3. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai

    Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300 niweza pata hadi trey 18 kwa siku kuku wa kishaanza kutaga sasa kwa upande wangu nimeona ni fursa...
  4. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  5. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  6. De Professor

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu hawakuwa na Pension, walitegemea Kilimo na ufugaji. Sisi itakuwaje?

    WAZEE WETU HAWAKUWA NA PENSION, WALITEGEMEA KILIMO NA UFUGAJI; SISI ITAKUWAJE? Anaandika, Robert Heriel. Zamani ilisemwa; Jembe halimtumpi Mkulima, ikimaanisha kuwa Ukilima lazima uambulie chochote kitu. Iwe ni masikini au tajiri lazima upate. Hii ilitokana na Hali nzuri ya tabia ya nchi...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo na Ufugaji yawe masomo ya lazima shule za Msingi na Sekondari

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi. Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi. Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili. 1. Hawana taaluma ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mchango wa ufugaji nyuki katika kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo

    UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

    Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji unalipa kuliko kilimo

    Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ufugaji Samaki Bwawa la Nzivi Mufindi kwa Njia ya Vizimba Waanza

    Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
  16. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
  17. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Vunjajungu (pamoja na wadudu wengine) na masoko yake

    Jumapili njema. Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama. Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbweha

    Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha...
  19. FAJES

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini shughuli za kilimo na ufugaji zimekuwa na changamoto nyingi kuliko matarajio ya watu wengi?

    Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo: Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku? Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha? Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
Back
Top Bottom