ufugaji

  1. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?

    Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe? Hii kanda sijui ina matatizo gani Nazungumzia Mikoa ya Pwani Tanga na huu ukanda wa Pwani wote Huu ukanda umebarikiwa sana kuwa na nyasi na majani ya kutosha mwaka nzima lakini cha ajabu wakazi wa huku hawafugi ng'ombe wala...
  3. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Usifuge kabla ya kuwa na uhakika wa kutengeneza chakula cha mifugo mwenyewe

    Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe. Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa mno. Kuna wakati unatamani uchukue mahindi ya chakula cha watoto uyaparaze na kuyavunjavunja ili...
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

    Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii. Je, familia ya Mama Janeth...
  7. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  8. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  10. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeadhibiwa adhabu kali ya moto kwa ajili ya kumtesa Paka

    Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa porini (Kimburu) ambaye yupo huru na huepuka kuwasiliana na binadamu. Paka wa nyumbani huthaminiwa na...
  11. pangakali 2

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbwa na chakula chake

    Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
  13. BABA SANIAH

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

    Habari za leo, Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli. Huwa naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka. Kama Kuna taarifa nyingine au kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu nao anifahamiahe zaidi.
  14. CASSIUS

    JamiiForums Tanzania Poultry farm Manager (Msimamizi wa Shamba la Mradi wa ufugaji wa Kuku wa Nyama)

    Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani) Anatafutwa mtu mwenye sifa:- Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Programu ya kilimo na ufugaji

    AGROCENTRE ni programu ya kilimo na ufugaji ambayo inamwezesha mtumiaji kupata masoko na na elimu kulingana na sehemu anayoishi.ni programu ya ambayo ilitengenezwa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam (mlimani compus ) mwaka 2020 kutoka idara ya fizikia.programu hii ina vitu kama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

    Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma. Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Sungura

    Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini napoteza.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Siasa katika kutenga eneo la kilimo na ufugaji katika Wilaya ya Simanjiro?

    Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji. Suala la kutenga eneo la ufugaji na kilimo ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji lakini kuna watendaji wasio na maadili...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ufugaji wa nyuki

    Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua mbinu za kuwafanya wasihame. Natanguliza shukrani.
  20. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
Back
Top Bottom