ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanatuficha nini wanapotetea kujitoa kwenye Mpango wa Uendeshaji Serikali kwa uwazi?

    Mbunge wa viti Maalum Grace Tendega aihoji serikali kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji kwa uwazi shughuli za serikali akisema jambo hilo lilikuwa ni silaha muhimu katika kupambana na rushwa. Ripoti zimekuwa zikionyesha vitendo vya rushwa kuongezeka na ripoti ya CAG kutofanyiwa kazi kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kyela: Ubadhirifu na ufisadi chama cha ushirika KYECU

    UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

    Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa? Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa? Halafu mlivyonikwaza zaidi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

    Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao. Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
  5. voicer

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili

    Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii: 41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs! Ebu jumlisha hizo pesa, kisha Convert hizo pesa kuja Tanzania Shillings, halafu unaambiwa ni ukwasi wa watu waliowahi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  7. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

    Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors. Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors? Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi. Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

    Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike. Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema. Leo hii tunahangaika kupata mapato. Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako aibua ufisadi wa mamilioni ya fedha za mkopo wa Corona

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, ameibua ubadhirifu wa mamilioni ya shilingi yaliyotolewa kutokana na mkopo wa UVIKO-19 kwa ajili ya ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba. Kufuatia...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliundwa ili kupunguza au kuondoa rushwa na ufisadi au iliundwa ili kuwahadaa mabeberu watusaidie zaidi?

    Habari! •Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji. • polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda. •Mahakamani nako rushwa iko waziwazi. •Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Washirika wengine wa Jacob Zuma wakamatwa kwa Ufisadi

    Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais. Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA) imesema Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Transnet, Brian Molefe na Mkurugenzi wa Fedha...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG inaonesha ACT WAZALENDO wanaongoza kwa Ufisadi Zanzibar. Allah Wasaidie Wazanzibar

    Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar. Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

    Habari ndugu wadau. Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9. Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu wamefanya semina wiki 3 kweli??Hakika sijaamini nilichokiona. Hii inamaana tungekuwa makini tungetumia ata...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Ruto kawekwa na matajiri, Wakenya mjiandae kulipia gharama za ufisadi

    Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi. Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya Wakikuyu kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila Odinga angeingia Ikulu mafisadi...
Back
Top Bottom