ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

    Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g. Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

    Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi. Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma. Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Tutashuhudia wizi na ufisadi wa kutisha awamu hii kwasababu waliopo madarakani HAWANA uhakika wa kupata madaraka tena!!

    Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa. Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa. Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa amsimamisha Mkurugenzi wa Mvomero Bw Hassan Njama Hassan kwa Ufisadi wa kutisha

  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

    1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki. 2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM inadaiwa mabilioni ya shilingi na hailipi madeni

    Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kama muasisi wa CCM hakuacha succession plan nzuri ndio maana taifa letu ndio maana taifa linaumizwa na ufisadi.

    Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache. CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao. Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kesi ya ufisadi ya Zuma yaahirishwa

    Kesi ya ufisadi nchini Afrika Kusini inayomkabili Rais wa zamani Jacob Zuma imeahirishwa tena kusubiri matokeo ya rufaa ya kiongozi huyo wa zamani ya kutaka mwendesha mashtaka wa serikali aondolewe kwenye kesi hiyo. Zuma hakuwepo katika Mahakama Kuu ya Pietermaritzburg kutokana na "dharura ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa. Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

    Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi. Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10. Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika. Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

    Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...
Back
Top Bottom