Malawi: Rais Chakwera amvua Mamlaka Makamu wake kwa kashfa ya ufisadi wa Tsh. bilioni 349

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5.

Ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini humo (ACB) iliwataja maafisa 53 wa sasa na wa zamani kuwa walipokea pesa kutoka kwa mfanyabiashara kutoka Uingereza na Malawi Zuneth Sattar kati ya 2017 na 2021.

Makamu wa Rais bado hajaongea chochote kuhusiana na tuhuma hizo.

....................................

Malawi's President Lazarus Chakwera has stripped his Vice-President Saulos Chilima of all his delegated powers after the latter was named in a $150m (£123m) corruption scandal involving government contracts.
The vice-president has not yet responded to the allegations.

A report by the country's Anti-Corruption Bureau (ACB) named 53 current and former officials as having received money from British-Malawian businessman Zuneth Sattar between 2017 and 2021, the president said.

This is in relation to 16 contracts that the Malawi Police Service and the Malawi Defence Force awarded to five companies belonging to Mr Sattar.

The officials named in the report include the vice-president and the head of police - who has been sacked.
But Malawi's law does not allow the president to sack or suspend his vice-president as the latter is an elected official.

"The best I can do for now, which is what I have decided to do, is to withhold from his office any delegated duties while waiting for the bureau to substantiate its allegations against him," the president said in a national address on Tuesday.

Mr Chakwera joined forces with Mr Chilima to defeat incumbent Peter Mutharika in 2020 presidential elections. The pair had promised to fight corruption in government.

SOURCE: BBC
 
Kwa hiyo mlitaka huyo rais afanye nini sasa, hapa Tanzania nchi imejaa ufisadi lakini hakuna anayesema kila siku ripoti ya CAG inatoka lkn hatujawahi kuona mtuhumiwa yeyote akifungwa jela.

Ufisadi uliokithiri ndio chanzo cha ccm kuhujumu uchaguzi kila mara wakiamini chama chochote kikija madarakani watakula miaka gerezani.
 
Kuna jitu moja bahati mbaya lishakufa katiba ingempa mamlaka kama hayo sijui ingekuwaje!
Maana huyo Rais Chakwera katiba imempa tu uwezo wa kumsimamisha kufanya shughuli yoyote katika zile alizopangiwa kuwa chini ya ofisi yake lakini Rais hana mamlaka ya kumvua wadhifa wake hivyo jamaa atakuwa akienda ofisini labda kupiga story au kujisomea magazeti tu na mwisho wa mwezi mpunga wake unaingia kama kawaida.
 
Kwahiyo ukimvua madaraka na kumwachia uhuru na mabilioni yake inasaidia nini?

Tunachoweza Afrika ni unafiki tu!
Sasa kama katiba haimruhusu afanyeje?sio kwamba anabaki huru na mabilioni,hapo kwenye taarifa si unaona kuna taasisi inayochunguza na ndio iliyomtaja?ndio hio ikithibitisha itachukua hatua na hata raisi kasema yeye anachoweza kwa sasa ni kumvua madaraka akisubiri tuhuma dhidi yake zithibitishwe.
 
Kwa hiyo mlitaka huyo rais afanye nini sasa, hapa Tanzania nchi imejaa ufisadi lakini hakuna anayesema kila siku ripoti ya CAG inatoka lkn hatujawahi kuona mtuhumiwa yeyote akifungwa jela.

Ufisadi uliokithiri ndio chanzo cha ccm kuhujumu uchaguzi kila mara wakiamini chama chochote kikija madarakani watakula miaka gerezani.
Kwanza anatakiwa apongozwe kwa hatua hio,ingekuwa kwetu ndio majanga sana,mtu akifanya kosa utasikia mara kateuliwa ubunge mara kapewa ubalozi yaani eti ndio kuchukuliwa hatua,yaani tunazunguka zunguka kama mazuzu kwa kuoneana aibu
 
Malawi President Fires Senior Officials in Crackdown on Graft
  • Chakwera also removes duties from vice president after probe
  • Malawi is looking to persuade the IMF to renew funding deal
Malawian President Lazarus Chakwera 

Malawian President Lazarus Chakwera
Photographer: Valeria Mongelli/Bloomberg
By
Frank Jomo
+Follow
21 June 2022, 19:54 BST

Malawian President Lazarus Chakwera fired his head of police and said he won’t delegate duties to Vice President Saulos Chilima after they were named in a corruption probe.

The duo were among more than 50 public officials to be linked to Zuneth Sattar, a Malawian now based in the UK who is alleged to have paid bribes to win state contracts worth more than $150 million, Chakwera said in an address to the nation Tuesday.
Advertisement

The move is the latest crackdown by Chakwera on graft, one of the issues he campaigned on to win election in a rerun vote two years ago. He fired his entire cabinet in January after just one of his ministers was accused of corruption, while police arrested a former finance minster and ex-central bank governor late last year.
Malawi is one of the world’s least-developed countries, and funding from international donors was halted almost a decade ago following the emergence of a major state corruption scandal. Chakwera has said he expects to clinch a new financing agreement with the International Monetary Fund this year, a deal that would be key to kicking off an economic revival.

Zuneth Sattar was arrested in the UK in 2021 for alleged corruption and is under investigation, the Financial Times reported last month. A London court has refused to let him leave the country, the newspaper said. He denies wrongdoing.
Advertisement

Chakwera said the corruption report was light on detail about how Vice President Chilima was involved with Sattar, one reason he stopped short of a straight dismissal. Chakwera picked Chilima as his running mate in 2020 to unite two opposition parties in his winning election campaign.
The Vice President’s office was not available for comment. However Chilima told reporters last month he wasn’t going to comment on the allegations, preferring to allow the rule of law to take its course
 
Back
Top Bottom