Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,024
- 1,611
Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma
Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa na ufujaji wa mali ya Umma, huku Sayma Cephus, Mwendesha Mashtaka Mkuu, akituhumiwa kwa kuwakinga washukiwa wahalifu, kuzuia uchunguzi wa ufisadi wa Serikali na kuingilia ushahidi ili kuhakikisha kuwa wapinzani wa kisiasa wanatiwa hatiani
Mwingine ni Bill Twehway, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Bandari, anayeshutumiwa kwa kuingiza pesa kutoka bandarini kwenye akaunti za kibinafsi
.........................................
Liberian President George Weah suspended three officials Tuesday after the U.S. government announced sanctions on them for public corruption. The officials include the president’s chief of staff, the country’s chief prosecutor, and the managing director of Liberia’s National Port Authority.
The suspensions were made less than 24 hours after the U.S. Treasury Department announced sanctions on three senior Liberian officials for alleged corruption.
Nathaniel McGill, Liberia’s minister of state and the president’s chief of staff, is accused of a variety of corruption schemes, including directing warlords to threaten political rivals, bribery, and the misappropriation of state assets.
Sayma Cephus, Liberia’s solicitor general and chief prosecutor, is accused of shielding suspected criminals, blocking investigations into government corruption and interfering with evidence to ensure the conviction of political rivals. Bill Twehway, managing director of Liberia’s National Port Authority, is accused of funneling money from the port into private accounts.
Source: Citizen Digital