Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
131
Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
 
Nikufanya urais wawe wanaachiana baina ya makabila ili kuondoa ukabila.
Kirefu chake Building Bridges Initiative
 
Mabadiliko ya katiba... kikubwa inapendeza nafasi ya waziri mkuu hapo ndio vuguvugu lote..maana Uhuru Kenyatta ataendelea kusalia madarakani kama waziri mkuu na Raila odinga Raisi..ndio maana ktk hii move Raila na Kenyatta Ni kitu kimoja ,.huo ndio mpango....mpango huo mpingaji Ni Ruto ndio maana uswahiba wake na Uhuru umekufa yeye alitaka makubaliano ya mwanzo na Uhuru yaendelee....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom