Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Kuna ndugu yangu aliyehitimu kidato cha sita mwaka 2019 lakini kulingana na halii ya uduni wa maisha alishindwa kujiunga ma Elimu ya juu licha ya kwamba katika udahili uliofanywa mwaka huo alichaguliwa chuo Cha Ardhi Bsc. in Environmental Science lakini kwa sababu niliyohitaja hapo juu alishindwa kujiunga na Chuo Kikuu hicho baadaye mwaka uliofuata alichaguliwa tena Chuo Kikuu cha kilimo Morogoro SUA Bachelor of science in Range management.
Na mwaka huo pia Mungu alimsaidia na kupata mkopo wa bodi HESBL na kufanikisha ndoto yake ya kwenda Chuo Kikuu lakini anadai alijiunga SUA kwa lengo la kwenda kubadilisha course maana hiyo hakuipenda alifika na kufanya huo machakato lakini baadae ilikwama kulingana alishawahi kuahirisha masomo safari hi ikawa vigumu kuahirisha masomo pamoja na kwamba course aliyodahiliwa hakuipenda sasa nikaona nilete hili suala humu tusaidiane kwa lengo la kumshauri maana anaonesha kukata tamaa bado na ndio semester ya pili imeenda kuanza Sasa.