Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting

hguy platnumz

Member
Feb 23, 2020
74
43
Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting

1. Unapataje mafunzo yake
2. Kiwango gani cha elimu s.t.d 7, 4m4, 4m6 au kivip
3. Chuo kipo wapi?
4. Vipi kuhusu ada
5. Unasoma kwa muda gani?
6. Kama kuna kipengele nimekisahau unaweza niongezea mdau

#Naomba kuwasilisha kwenu
 
Certificate/Diploma/Bachelor Degree/Masters/Phd?

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Certificate/Diploma/Bachelor Degree/Masters/Phd?
Piga namba hizo hapo chini kabisa uwaulize maswali yako yote

1615369078259.png
 
Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting

1. Unapataje mafunzo yake
2. Kiwango gani cha elimu s.t.d 7, 4m4, 4m6 au kivip
3. Chuo kipo wapi?
4. Vipi kuhusu ada
5. Unasoma kwa muda gani?
6. Kama kuna kipengele nimekisahau unaweza niongezea mdau

#Naomba kuwasilisha kwenu

Maana yako ni kuwa unapenda kusomea mambo ya habari na mawasiliano ya umma! vema.
Kwa ngazi ya cheti vyuo viko vingi - lakini ni bora ukatafuta vyuo vyenye ithibati ili uweze kuendelea zaidi na masomo ya ngazi zingine utakapo hitaji.

JARIBU VYUO VIFUATAVYO:

SAUT/AMUCTA - Walikuwa wanatoa Cheti sijajua kwa sasa!

Archbishop Mihayo University College of Tabora
P. O. Box 801
Tabora, Tanzania
Tel: +255 26 2605355
Fax: +255 26 2605355
E-mail: amucta@amucta.ac.tz

DSJ - Hapa ni Uhakika wanatoa kuanzia ngazi ya Cheti na Stashahada. -
  • Dar es salaam School of Journalism,
    Sharriff Shamba Area, Ilala Bungoni,
    P.O. Box 25444,
    Dar es salaam.

    Contacts:
    0655 573 294 | 0735 573 294
    0735 573 297 | 0738 971 289

    Write to us through: info.dsj@uti.ac.tz

Kila la Heri.
 
Back
Top Bottom