uchumi

  1. Daraja la Kigongo - Busisi kupaisha uchumi

    MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu mkubwa kuwezesha maeneo mbalimbali kufunguka kiuchumi. Kwa hiyo kuna uhusiano mkubwa wa maendeleo ya...
  2. Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  3. Huduma za fedha kwa njia ya simu zinavyosaidia kukuza uchumi nchini

    Katika siku za hivi karibuni huduma ya kutuma fedha, kupokea na kulipa kupitia simu za mkononi imekuwa jambo kubwa nchini na kwa kiasi kikubwa kichocheo cha maendeleo yetu. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa faida zinazohusiana na huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi zinachangia sana kwenye...
  4. Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

    Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa. Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au...
  5. Makadirio ya uchumi wa dunia 2020 kuwa madogo huku uchumi wa China ukitarajiwa kuporomoka

    Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka. Ripoti mpya kuhusu mustakbali wa uchumi wa dunia inayotolewa kila baada ya nusu mwaka na Benki ya...
  6. Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  7. Hatimaye Diwani wa Chadema Tunduma, Ayubu Sikagonamo aachiwa kwa dhamana. Amesoteshwa rumande kwa kusingiziwa uhujumu uchumi kwa miezi mingi sana

    Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu. Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh...
  8. Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    December 31, 2019 Dodoma, Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20 By Dkt. Philip Mpango (Mb.) Waziri wa Fedha & Mipango 31 Desemba, 2019 - DODOMA 1...
  9. Uchumi Bila siasa ya vyama vingi

    Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
  10. Tanzania tunawezaje/tufanye nini ili kufaidika na ukuaji wa uchumi wa China?

    Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa China amekuwa mtumiaji mkubwa wa malighafi duniani . Pia ukuwaji huo umetengeneza mamilioni ya...
  11. Ilianza Kama mzaha kwa Vikaratasi vya Bashite, hatimaye ni Kawaida sasa kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi, kupewa kesi za Uhujumu Uchumi

    Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya... Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama...
  12. Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

    Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa...
  13. Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa. Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi...
  14. Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

    Daktari wa Dental Clinic iliyoko Sinza Mori, Dr Awadh Juma mkazi wa Kunduchi ambaye anatuhumiwa kwa utoaji mimba ambao ni kinyume cha sheria za nchi , amefikishwa kwenye Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu akishitakiwa kwa makosa 7 likiwemo la utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za...
  15. Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mara nyingi binadamu walio wengi, wanapoyasikia mabaya, kama hayawagusi moja kwa moja, ni rahisi kufikiria kuwa hayawahusu, na wale wanaopatwa nayo wanawaona ama ni wajinga ama hawana uthamani kama walio nao wao. Leo hii, kama kuna mtu au anakuwa ametekwa au kukamatwa na vyombo vya usalama...
  16. Prof Assad ndie anaefuata katika listi ya wahujumu uchumi

    Baada ya kutishiwa, kuteswa na kushikiliwa kwa muda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha. Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera...
  17. Sherehe za mwisho wa mwaka 2019 kudorora/kutochangamka: Je yaweza kuwa kigezo cha uchumi kudorora?

    Enzi za Nyerere sijaziishi ila skukuu za kuazinzia awamu wa mwinyi hadi kikwete siku hizi zilikuwa na vurugu nyingi wananchi walistarehe sana. Kwa mkoa wa Dar mitaa kama Sinza ilikuwa shangwe la hatari, kila rafiki ukimpigia amelewa chakari au wasio tumia kileo yuko mahotel makubwa leo...
  18. Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

    Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi...
  19. Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  20. TITO MAGOTI kufunguliwa kesi ya kutakatisha fedha na Uhujumu uchumi ??

    Kama ilivyokawaida kwa serikali kandamizi ya Tanzania kukandamiza haki na uhuru wa kujieleza leo watu wasiojulikana baada ya kumchukua Tito Magoti na baadae kujulikana kua yuko na Polisi wakimhoji na ni siku chache tu baada ya Tito kuhoji kuhusu Bodi ya Mikopo kutowapa pesa wanafunzi wa Elimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…