Hii ndio mahana halisi ya taifa lenye uchumi wa kati

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania.

Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.

PSX_20200831_113112.jpg
PSX_20200831_113039.jpg
PSX_20200831_113004.jpg
 
Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania.

Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.

Tanzanian football teams are only good in the photo shoot, there is nothing past that. Please do remind them Yanga and Simba that Gor Mahia is waiting to rape them again.
 
😂😂 hebu acha ushamba Gor mahia hiyo timu ilikuja bongo ikafungwa na mbao timu iliyoshuka daraja, ndio kwenu timu tishio kwanza wachezaji wake wanaikimbia aiwezi hata kulipa mishaara kwa wachezaji.

Najua uko kenya Hakuna timu inayoweza kujaza kiwanja chenye capacity yakubeba watu elfu sitini tena wakiwa wameingia kwa kulipa kiingilio lazima ushangae useme ni photo shoot
 
Kenya is not a country with one stadium, we have a lot.
😂😂 kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central Africa
 
😂😂 hebu acha ushamba Gor mahia hiyo timu ilikuja bongo ikafungwa na mbao timu iliyoshuka daraja, ndio kwenu timu tishio kwanza wachezaji wake wanaikimbia aiwezi hata kulipa mishaara kwa wachezaji.

Najua uko kenya Hakuna timu inayoweza kujaza kiwanja chenye capacity yakubeba watu elfu sitini tena wakiwa wameingia kwa kulipa kiingilio lazima ushangae useme ni photo shoot
The last time I checked Gor mahia raped Simba and Yanga. There is no team in Tanzania that can threaten Gor Mahia.
 
😂😂 kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central Africa
Siku mtakuwa na kitu kama hiki unitag please. That`s 60,000
DEcCqfXXUAAKWSs.jpg
 
😂😂 kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central Africa
Outside that your one stadium hamna ingine tena. This is Nyayo stadium, 30,000 seats.
EdBNMFmWsAE4IU7.jpg
 
Back
Top Bottom