uchumi

  1. Tusijidanganye kutatua tatizo la uchumi na ajira bila kuhakikisha walau 70% ya bidhaa tunazozitumia tunazalisha wenyewe

    Siku hizi imekuwa kama sifa kumsikia Mtu akijinadi kuwa yeye ni bingwa wa kuagiza bidhaa kutoka China au sehemu nyingine ya Dunia. Kwa vyovyote Mtu kama huyu hawezi kufurahi akisikia mipango yoyote ya Nchi kutengeneza bidhaa zake yenyewe, na atafanya kila linalowezekana kuhujumu juhudi kama...
  2. RC Chalamila awataka wakazi wa Mwanza kunywa pombe ili kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi, asema baadhi ya baa kuwa na kelele za muziki ni sawa

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kunywa pombe kwa kuwa inachangia kukuza uchumi wa nchi kupitia kodi za serikali. Chalamila ameyasema hayo jana jijini Mwanza alipozungumza na uongozi wa Mamlaka ya Mapato (TRA). Alisema watu wakiacha kunywa pombe maana yake...
  3. Charles Mwijage: Watanzania hawataki uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine

    Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
  4. Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

    MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama tukianzisha kiwanda kikubwa cha kubadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA. Kwa mujibu wa ripoti ya Benki...
  5. Ni muda sasa vijana kwa wakubwa turudi vijijini kuwekeza kwenye kilimo kulingana na zao la uchumi linalo stawi kwenye maeneo tutokako

    Ujana ni maji ya moto na uzee ni maji ya baridi na ikumbukwe uzee ni usiku. Wakati natafakari maisha yangu huku nikiwaza kesho yangu imenilazimu niwaze mbali kwaani kuwaza karibu ni sawa na kuchimba shimo ndani ya nyumba. Uzi huu najua wengi hatuupendi kwavile tunaona leo yetu kama kesho yetu...
  6. Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  7. Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  8. Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Wakuu poleni na harakati za maisha. Mpaka kufikia mwaka 2018 maisha kwangu yalikua tambarare kabisa, sikua na uchumi wa juu lakini nafikiri nilifikia uchumi wa kati wa juu. Biashara ya kuingiza pesa kila siku ambayo niliisimamia mwenyewe na nyingine hizi za kuleta hesabu kwa wiki kama boda boda...
  9. B

    Tanzania lini tuliwahi kuwa matajiri hadi tuanze kulalamika tunarudi kwenye umaskini?

    Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya. Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini? Kwamba...
  10. J

    Askofu Gwajima: Ukiwa uchumi wa kati unapoteza fursa nyingi za upendeleo hivyo ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati. Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini. Chanzo: TBC...
  11. Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

    Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu. Wengine: Lazarous Kambole randi 120,000 Leonardo Castro randi 180,000 Willard Katsande randi 200,000 Thamani ya timu yao kwa ujumla...
  12. Ushauri: Nifanyeje ili nijue kuhonga

    Habari ya leo jamani, Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu. Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa. Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi...
  13. J

    Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  14. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

    Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
  15. Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu". Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake...
  16. Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
  17. J

    Dkt. Ndugulile ataka ushiriki wa Sekta Binafsi katika kuelekea uchumi wa kidijitali

    NDUGULILE ATAKA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA KIDIJITALI Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kuleta mapinduzi ya TEHAMA kwa lengo la kuelekea uchumi wa kidijitali. Dkt Ndugulile...
  18. Kenya ndio uchumi tajika hapa Afrika Mashariki. Hilo jambo halipingiki

    Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy...
  19. W

    Ifahamu Dhahabu ya Kijani (GREEN GOLD) Itakayokuza Uchumi wa Wakulima wa Tanzania

    Dhahabu ya Kijani (Green Gold) ni zao linalostawi vizuri katika maeneo yenye milima zenye mvua nyingi angalau nusu mwaka. Afrika mashariki linastawi vizuri katika nchi za Tanzania, Uganda Burundi na Rwanda zina utajiri mkubwa kutokana na ardhi yake kukubali kustawi kwa wingi Matunda ya...
  20. Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

    Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…