uchumi

  1. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania CCM tuseme wazi kuwa tunaogopa katiba mpya, tuche visingizio vya kujenga uchumi kwanza

    Hii habari ya kusema eti kipaumbele ni kujenga uchumi kwanza wakati Magufuli pia alisema hivyo hivyo matokeo yake miaka mitano ikapita hajafanya lolote. Tusiwadanganye wananchi na wala tusitafute huruma yao, ni uchu wetu wa madaraka tu hakuna kiingine. Mnahisi na mnaufahamu udhaifu wa chama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rais Samia anza na Kilimo kukuza uchumi

    Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
  3. Mancobra

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  4. brightmind

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hekima: Ufunguo Halisi wa Utajiri

    Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba. Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  6. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtumie Profesa Assad akusaidie kwenye Uchumi

    . Ni mkweli . Sio mnafiki . Anasimamia ukweli . Ni mcha MUNGU . Hajipendekezi . Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi. Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii. Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
  7. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa kuinua uchumi kwa rasilimali zilizopo hatuwezi kuuinua kwa tozo

    Hakika Tanzania ni moja ya nchi zilizobarikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi sana. Tanzania ina Maziwa Mito Mabawa Mbuga za Wanyama Mabonde Milima Ardhi Watu Pamoja na Vyote hivi Tanzania ni nchi huru kwa Miaka 60 sasa bado Tanzania ni nchi masikini. Tumewasikia viongozi wetu Wakijitatapa kuwa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afutiwa kesi ya uhujumu uchumi na kufunguliwa nyingine ya jinai

    Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Ahmed (57) amefutiwa kesi ya uhujumu uchumi na kisha kufunguliwa kesi ya jinai yenye mashtaka saba yakiwemo ya kujipatia Sh34 milioni kwa njia ya udanganyifu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maboresho ya Nyanja za Uchumi kwa Maendeleo

    MABORESHO YA NYANJA ZA UCHUMI KWA MAENDELEO Maendeleo ya jamii au taifa lolote huchochewa na watu wake, mifumo ya utendaji na uchapakazi. Mabadiliko na udhibiti wa utendaji ni moja ya silaha kubwa katika kuchochea maendeleo na ufanisi ndani ya Taifa. Katika nchi yetu Tanzania kuna haja ya...
  10. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais ni PhD holders wa uchumi. Tunakwama wapi?

    Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu? Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi? Makamu wa Rais ni PhD holder wa uchumi/fedha na Waziri wa Fedha ni PhD holder wa uchumi kutoka pale jalalani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  12. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika Muziki, Michezo na Kilimo ili kukuza Uchumi kwa Vijana wa kitanzania na Taifa kwa ujumla

    Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa. Je tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la vijana wasio na ajira kuendelea kuwa kubwa? Katika uchumi kuna kitu...
  13. Festo Muyenjwa

    JamiiForums Tanzania Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa na utawala bora na siasa safi

    UCHUMI NA BIASHARA: Kwakweli serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa, ukusanyaji wa kodi ,elimu Bora, afya nk 1. Uchumi: Suala la uchumi inatakiwa iangaliwe kwa jicho la karibu na elimu itolewe kwa...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi

    Nasikia harufu ya mfumuko, Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi. Tukae darasani tusome uchumi tuuelewe😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kodi na Hali ya Uchumi kwa Wananchi

    Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi. Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio maana TAIFA lenye Kodi nyingi ni mataifa ambayo kipato Cha mmoja mmoja katika Hilo taifa NI kikubwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makato ya mamala yapo poa, yanawiana na Uchumi wa kati

    MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
  17. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika vipaji vya Watanzania ili kukuza uchumi wa taifa

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk. Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uchumi shirikishi kwa kila Mtanzania

    UCHUMI SHIRIKISHI KWA KILA MTANZANIA Kila binadamu kwenye jamii yoyote anapenda kuisha maisha yenye mafanikio na maendeleo, hata hivo maisha hayo hutegemea utashi wa mtu binasfi kuchangamkia fursa na fursa zinazopatikana mazingira aliyopo. Lakini pia sisi wananchi tunategemea serikali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia za kuchochea, mabadiliko kwenye Uchumi na Biashara, maendeleo ya jamii, uwajibikaji, Demokrasia, Sayansi, technologia na haki za binadamu

    Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu. UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo serekali Ili kukuza uchumi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
Back
Top Bottom