uchumi

  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini, Hayati Magufuli alipambana na matajiri ili wenye hali tete tupumue

    Mh Rais Samia hichi ulichotuletea cha ada ya ya kizalendo hatuitaki. Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini maana ndiyo watumiaji wakubwa wa hizi huduma ulizotuongezea! Mwenzio alipambana na matajiri ili wananchi wenye hali tete tupumue lakini wewe unakuja kutubana sisi ili wao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni nini?

    Uchumi ni nini? Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia. Sayansi ya Uchumi...
  4. plagiarism

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 6 za kukuza uchumi wa Tanzania

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia uchumi wa kati duniani lakini si sawa kuishia hapo lazima tuendele kupambania ili kufikia malengo...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  6. KIKOTI12

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vichocheo vya ukuaji wa Uchumi wa Tanzania yetu

    Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani watumiaji wa bidhaa wananunua na uwekezaji wa bidhaa. Kama mtumiaji anauwezo wa kununua mahitaji yake...
  7. Sweveboy_tz

    JamiiForums Tanzania Afya sambamba na uchumi

    Afya sambamba na uchumi Changamoto kubwa sana inayotukabiri sisi wa Tanzania pamoja na mataifa mengine yanayoendelea ,ni kwamba tunashindwa kutambua ni jinsi gani afya za wananchi zinaathiri moja kwa moja Uchumi wa Taifa. Iwapo wananchi watakuwa na afya njema basi hata kasi ya kupanda kwa...
  8. melony

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uhusiano wa Uchumi na Utawala Bora

    Kabla ya kuelezea uhusiano uliopo Kati ya uchumi na utawala bora, ni vema kuanza kueleza dhana ya uchumi na utawala bora. Uchumi, ni usimamizi wa rasilimali, uzalishaji bidhaa, usambazaji wa bidhaa na utoaji wa huduma kwa jamii ili kuwa na maisha bora kwa jamii na watu kwa ujumla. Uchumi...
  9. Manka leonce

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwenye nyanja za Uchumi, Afya, Biashara, Afya Maendeleo ya Jamii, Utawala Bora na Uwajibikaji, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia

    Serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza linatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa ,ukusanyaji wa kondi ,elimu Bora ,afya nk Uchumi: suala la uchumi linatakiwa liangaliwe kwenye jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara: Changamoto wanazokabiliana nazo Watanzania

    Sekta ya biashara nchini inakabiliwa na changamoto kadhaa wa kadhaa ambazo inazorotesha utendaji na ufanisi katika sekta hizo. Miongoni mwa changamoto hizo ambazo bahati nzuri serikali ya awamu ya sita imeweza kuzibaini na kuzipatia ufumbuzi ni suala la mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na...
  11. MaraVeteran

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uhusiano wa Siasa, Jamii na Uchumi

    Maisha yana mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni mtazamo wa kisiasa, mtazamo wa kijamii na mtazamo wa kiuchumi. Mitazamo yote mitatu kwa kila mmoja wapo huweza kuungana na mwingine ili kuzalisha mtazamo mdogo. Kwa mfano Siasa ikiunganishwa na jamii huzalisha siasa jamii, uchumi ikiunganishwa na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Siasa na Uchumi: Siku 12 za Mwaka wa Fedha zinapita, fedha ya Bajeti haijaanza kutoka; ikifika Juni 2022 ndiyo zitatoka

    Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa. Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha. Mwisho wa...
  13. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Majanga kama hili la Moto Kariakoo yanazidi kutukumbusha umuhimu wa Sekta Binafsi kwenye Uchumi

    Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unategemea mahusiano ya kibeberu dhidi ya Tanzania

    Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini. Kuna mito huingia kwenye maziwa halafu kuna mito inatoka kwenye maziwa kwenda baharini. Kenya ni kama ziwa kwa uchumi wa tanzania...
  15. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Uchumi kwanza, Katiba isubiri. Acheni chokochoko!

    UCHUMI KWANZA, KATIBA ISUBIRI. ACHENI CHOKOCHOKO. Ilikuwa asubuhi na mapema mwezi uliopita wa Sita mwaka huu 2021 naamka na kukutana na ujumbe wa simu kutoka kwa rafiki yangu James Michael, Afisa TEHAMA wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kagera__"Kaka Suphian naona CHADEMA wakisapotiwa na...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

    Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania . Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS ========== Nimesoma hii Habari ; "Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Obama Afrika inaweza kuwa sawa na kosa linalojumuisha Madawa ya Kulevya, Uhujumi Uchumi, Uhamiaji Haramu

    Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama akawazuia.Akawajibu kwa busara vijana hao na akawaalika kujadili naye zaidi.That’s Presidential
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukitaka kukuza uchumi hakikisha nchi inazalisha chuma na inajitosheleza

    Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze katika uzalishaji huo. Ni ngumu sana nchi kuendelea na kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma. Hakuna...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, Uchumi unapaa au unashuka? Ongezeko la bei ya petrol na diesel laanza kupaisha bei za bidhaa na huduma

    Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado. Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo. Nawasalimu kwa...
Back
Top Bottom