Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
Sijashawishika na haya majibu ya Rais Samia!
Kwamba apewe muda ili aisimamishe nchi kwanza kiuchumi halafu ndo aruhusu mikutano ya kisiasa.
Achieni watu wapige siasa bana. Na nyie mpige kazi.
Kukataza watu kufanya siasa popote pale nchini ni fikra za kijima na za kishamba.
Watu kupiga siasa hakuwazuii nyie kufanya kazi zenu.
Acheni watu wawe huru.
Antediluvian and superannuated ideas have no place in a modern Tanzania.
Get with the changing times!