uchumi

  1. Uchumi wa Kenya in the first half of the year 2021 umekuwa by an average of 5.4 %

    In the first quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 0.7%. In the second quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 10.1%. Kwa hivyo average in the first half of the year inakuwa 5.4%. Officially Kenya is no longer in recession due to two consequtive quarters of growth. ====== Economy rebounds 10.1pc in...
  2. Wataalam wa Uchumi, tuelezeni kwanini kuna mfumuko wa bei

    Forum kama hii ilitakiwa sahivi kuwe na mjadala mkali wa kuelezea kwanini kuna mfumuko wa bei na kutoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kutatua,badala yake naona kimya tu na mijadala myengine tu ndo imeshika hatamu. Tusisahau historia ya Forum hii imekuwa ni chachu ya kuleta mabadiliko...
  3. Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi? Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
  4. Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
  5. L

    Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  6. Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  7. Kwanini sherehe za Uhuru huwa tunaonesha mambo ya kijeshi zaidi badala ya uchumi na uhuru wa kimaendeleo?

    Nimefunguliwa akili na wanaharakati flani wa Iran wakiipa changamoto serikali yao. Wanadai Janga la korona limekwanyua uchumi wa nchi yao lakini katika sherehe za kitaifa wao wanaonyesha mambomu mapya waliyoyabuni badala ya maonyesho ya vile ambavyo serikali imefanya kuwaondoa katika wimbi la...
  8. Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
  9. Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  10. App ya kudownload movie zilizotafsiri na sizoni bure

    *****†********
  11. Taa za barabarani ni kero/zinadumaza uchumi

    Nimekuwa napita kwenye taa za barabarani maarufu ka traffic light Naona zimekuwa ni kero saana kwani zina fanya barabara kuu highway itumike muda mfupi sana. Na maanisha kwa barabara zimekutana kama cross (jumlisha) barabara hufungwa karibia masaa sita kwa siku ( kila moja) Hii ni upotevu...
  12. M

    Nahitaji vitabu vya ujasiriamali au uchumi

    Kama kichwa kinavyojieleza napenda sana kisoma vitabu vya ujasiliamali au uchumi mwenye navyo anisaidie
  13. Kassim Majaliwa: Serikali imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo

    KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
  14. IMF: Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na Corona

    Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa tajiri na masikini, na kwamba katika miaka 5 ijayo Uchumi unaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa ikiwa...
  15. Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  16. Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

    Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
  17. O

    Biashara katika uchumi

    BIASHARA KATIKA UCHUMI Katika nchi yetu ya Tanzania kwa mwaka pekee idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu inazidi 1,000, Apo ni chuo kimoja kwahiyo tukiangalia idadi ya vyuo vyetu nchini tukijumlisha na idadi hii ya wahitimu tunapata idadi kubwa sana ya wanafunzi wanaomaliza kwa mwaka katika vyuo...
  18. KANUNI 7 ZA KUFANIKIWA KIFEDHA

    *****†********
  19. L

    Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya nchi 40 za Afrika na karibu kampuni 900 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya uhusiano wa kirafiki kati ya...
  20. B

    Wakili Peter Madeleka: Mimi na mke wangu tulikamatwa na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi, nitawashtaki

    WAKILI PETER MADELEKA: MIMI NA MKE WANGU TULIKAMATWA NA KUSHTAKIWA KWA UHUJUMU UCHUMI, NITAWASHTAKI Source : mubashara studio
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…