Wataalam wa Uchumi, tuelezeni kwanini kuna mfumuko wa bei

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,849
Forum kama hii ilitakiwa sahivi kuwe na mjadala mkali wa kuelezea kwanini kuna mfumuko wa bei na kutoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kutatua,badala yake naona kimya tu na mijadala myengine tu ndo imeshika hatamu.

Tusisahau historia ya Forum hii imekuwa ni chachu ya kuleta mabadiliko mbalimbali kutokana na mijadala mbalimbali, nafikiri huu no muda muafaka kwenu wachumi huu ni upande wenu.

Hamjui uchumi unatuchumu😂
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Vifaa vya ujenzi bei imekuwa ikipaa kila siku afadhali ya jana!

Imagine.

Mafuta ya kura usiseme, tozo n.k
Sasa haya yanatakiwa yasemwe yajadiliwe na hao wataalum wa uchumi ni kwanini inafanyika haya na hatari zake na solution zake.
 
Tatizo lipo kwenye Much Imports than Exports

Ni wakati mrefu umepita hatujawa tegemeo kuu la bidhaa fulani Specific Duniani jambo ambalo hufanya Currency ya Taifa husika kuwa na thamani na Dola kubadilishwa kwa kiwango Cha kawaida kwa kuwa Demand ya Shillingi yetu kama foreign Currency kwenye Trade ingekuwa kubwa

Mimi ninaomba Mtoa Uzi tuambie sekta ipi Tanzania umeona wewe inafanya vyema kwenye Biashara za kimataifa Kati ya Tanzania na Nchi zingine.

Si Uvuvi, Kilimo, Madini, Usafirishaji na Mawasiliano, Bidhaa za nyumbani na huduma Viwandani, Mahospitalini, Mashuleni na Vyuoni pamoja na Maeneo mengine Mengi

Huwezi kuagiza Furniture CHINA au kutoka Arabuni kila Mwaka na ukaruhusu Maendeleo duni ya Uzalishaji wa Misitu na Viwanda vya Kati Chakataji

Tunakoelekea itafika Mahali YAI moja liuzwe TZS 3,000/= na hii ndio Inflation wanasemaga

Wenzetu wale tunaowalilia wanaweza kufanya zaidi ya haya wanayoyafanya ili tuzidi kupotea because Mfumuko huwa kuna MAZINGIRA yakitengenezwa unapaa kwa kasi bila WARNING
 
Wenzetu wale tunaowalilia wanaweza kufanya zaidi haya wanayoyafanya ili tuzidi kupotea because Mfumuko huwa kuna MAZINGIRA yakitengenezwa unapaa kwa kasi bila WARNING
Unafikiri ni kwanini serikali yetu haichukui hatua stahiki?
 
Mimi ninavyoiona kwanza Serikali Ina Madaftari Mengi sana hasa ya kushughulikia Mienendo ya kisiasa nchini na la kushangaza yametengenezwa Matatizo Mengine yanayopoteza tu wakati, Nguvu kazi na Maisha ya watu

Kwenye Muundo wa uendeshaji wa Serikali pana shida kubwa ya taaluma za watu wetu waliosoma na wao wenyewe zi/wanaingiliwa kirahisi Mno na huwa hatuelewi na hatuelezani kuwa Wakati ni Pesa.

Hapa huwezi kusema au kutaja au kueleza kabla hujaonekana humfai aliye Juu. Sisi kwetu ni kama serikali ni Mtu mmoja pekee, ndio maana Rais aliyepita alipenda sana kusema haya maneno; "MIMI NDIYE RAIS"

Taifa linalozalisha vyema halina Inflation kubwa ya kustusha mpaka katika very special circumstances mfano uwepo wa Migogoro.
 
Tatizo lipo kwenye Much Imports than Exports

Ni wakati mrefu umepita hatujawa tegemeo kuu la bidhaa fulani Specific Duniani jambo ambalo hufanya Currency ya Taifa husika kuwa na thamani na Dola kubadilishwa kwa kiwango Cha kawaida kwa kuwa Demand ya Shillingi yetu kama foreign Currency kwenye Trade ingekuwa kubwa

Mimi ninaomba Mtoa Uzi tuambie sekta ipi Tanzania umeona wewe inafanya vyema kwenye Biashara za kimataifa Kati ya Tanzania na Nchi zingine.

Si Uvuvi, Kilimo, Madini, Usafirishaji na Mawasiliano, Bidhaa za nyumbani na huduma Viwandani, Mahospitalini, Mashuleni na Vyuoni pamoja na Maeneo mengine Mengi

Huwezi kuagiza Furniture CHINA au kutoka Arabuni kila Mwaka na ukaruhusu Maendeleo duni ya Uzalishaji wa Misitu na Viwanda vya Kati Chakataji

Tunakoelekea itafika Mahali YAI moja liuzwe TZS 3,000/= na hii ndio Inflation wanasemaga

Wenzetu wale tunaowalilia wanaweza kufanya zaidi ya haya wanayoyafanya ili tuzidi kupotea because Mfumuko huwa kuna MAZINGIRA yakitengenezwa unapaa kwa kasi bila WARNING
Haya uliyochambua ni Kama nchi iliyowekewa vikwazo!
 
Haya uliyochambua ni Kama nchi iliyowekewa vikwazo...!
Yetu haina hata vikwazo; lakini Mkuu Ben hatujawa na nafuu juu ya kupanda kwa bei za bidhaa

Mkuu wa Nchi kila Mkutano wa kimataifa anapata nafasi ya kuongea lakini Watanzania lazima tujue kuwa sisi tunapendelewa sana na tunapendwa huko Duniani Mno

Kuna mahali tukifika tutaishi kama Wafalme, yaani watu watafanya Biashara na hili Taifa zuri kwa miaka mingi na tutafurahi jinsi ilivyo Amani kuishi bila mahangaiko makubwa ya aina ile ya sasa
 
Ukiona unapendwa sana na wale jamaa ujue wewe ni fursa kwao.
 
Back
Top Bottom