uchumi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua vyema kuicheza Diplomasia ya Uchumi na kuziingia Siasa za Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na Mataifa mbalimbali kuiamini Tanzania na kuleta Uwekezaji na mitaji mikubwa kwenye Nchi yetu. Tanzania...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

    Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango). Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
  3. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa kijamii na maendeleo ya uchumi ndio suluhu ya kudumu dhidi ya mapinduzi ya kijeshi Afrika

    Katika mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu mjini Addis Ababa, Ethiopia, suala la utulivu wa kisasa limekuwa ajenda ya kujadiliwa, na baadhi ya viongozi wameonyesha wazi kukasirishwa na linaloonekana kuwa wimbi jipya la mapinduzi. Katika kipindi cha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

    Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao. Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utakua kwa 4.4% mwaka 2022

    Benki ya Dunia imeripoti kuwa Uchumi wa Dunia utakua kwa 4.4% kwa mwaka 2022 ikiwa na tofauti ya 0.5% iliyokadiliwa awali. Mwaka 2023 ukuaji wa uchumi utapungua hadi kufikia 3.8% Nchi zinazoendelea zitakuwa na ukuaji mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Aidha 60% ya nchi maskini zimeanza...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

    Serikali ifanye uamuzi mgumu, hii ni biashara ya hasara, nadhani ATCL wajikumbushe sababu zilizofanya ATC ikafilisika, abiria sita ni sawa na milioni mbili laki nne kwa nauli ya laki nne, Dar-Chato direct flight, maana yake kama ni dreamliner siti nyingi hazikaliwi,inaenda tupu kwa asilimia 98...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Daraja la Zanzibar - Bagamoyo muhimu kwa uchumi

    Ni ushauri tu kwa viongozi wa serikali yetu ya Muungano Na Zanzibar kujenga daraja la Magari Na BRT kati ya Tanzania Bara Na Zanzibar. Wachina wanaweza.
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Mseveni aruhusu shughuli za uchumi kufunguliwa tena baada kufunga kwa takriban miaka miwili

    Shuguli zote za kiuchumi zimefunguliwa tena nchini Uganda leo Jumatatu baada ya kufungwa kwa baadhi ya biashara kwa karibu miaka miwili. Baa, vilabu vya usiku, kumbi za michezo na maeneo mengine ya burudani pamoja na shuguli nyingine za usiku vimefunguliwa rasmi baada ya kufungwa mwezi Machi...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Uchumi wa Mikoa hazina maana kama Mikoa haijitegemei

    Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba? Kwangu mimi ingeleta maana kama...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani Kenya waongeza mabilioni kwenye uchumi

    Huu ndio uzalendo wa kweli.... ===== The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic. The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kimataifa yahimizwa kufanya juhudi za pamoja ili kufufua uchumi wa dunia

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amehutubia Kongamano la mwaka 2022 la Baraza la Uchumi wa Dunia kwa njia ya video, akihimiza jamii ya kimataifa kushirikiana katika kukabiliana na changamoto zilizosababishwa na janga la COVID-19, na kujenga dunia nzuri. Katika hotuba yake, Rais Xi amesema...
  14. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania bado haijafika uchumi wa kati Middle Income Country (MIC)

    United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC. Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuingia uchumi wa Kati, Tanzania bado tuko chini katika ubora wa Maisha (HUMAN DEVELOPMENT INDEX) tunashika nafasi ya 163

    HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini. Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita. Kwa haraka tu nadhani Watz...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yafanyike haya ili ku-boost mikoa ya Kusini iliyolala

    Matumaini yangu ni wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa nianze kwa kuisifu,eeeh bhanaa hamna mikoa mizuri hapa Tanzania [emoji1241] kama mikoa ya kusini hasa hasa ile iliyopitiwa na bahari yaani MTWARA na LINDI sijajua hata tulikwama wapi kuifanya iwe kama Istanbul...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

    ==== Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania, According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP limekua kwa kasi ya ajabu katika kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan, Pato letu...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utoto hutegemea hali ya uchumi, hali ya uchumi ikiwa ngumu utoto huisha mapema

    Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Anakua na michezo ya kuchezea na nguo zinazohitajika kwa wakati, mfano za kukalia, za shule, za ibada nk. Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Polepole na Dkt. Bashiru wamepata taarifa za kuhojiwa Kuhusu makosa ya uhujumu uchumi?

    Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mkabizi uchumi wa nyumbani mwanamke, hutojutia.

    kabla sijaoa, nilisema sitaoa mwanamke aliyeajiriwa; na kweli nilifanikisha kwa kupata kifaa kweli kwa muonekano, pia kichwani yuko vizuri. Na wakati nilipokutana naye mara ya kwanza, nilimpiga interview kama mtu anayeomba kazi, ila lengo langu ni kupata mtu atakayetimiza majukumu yangu...
Back
Top Bottom