Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi?

Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama huingizii serikali kiasi chochote cha faida yako?.

Kwa sasa mitaani fremu zinapangishwa sana na nyingine zimepanda bei. Naamini baada ya chinga wote kuondoka itaanza operation ya wasiolipa kodi,mtaa kwa mtaa,kila mtu kwa sasa ukienda manispaa mbalimbali kumejaa wafanyabishara wanaochukua leseni,hii ni dalili nzuri ya serikali kuongeza pato lake.
 
Ila kwa dar bila operation ya "MGUU WA KICHWA, MGUU WA SHINGO" WEKA UGOKO, NISHUSHE NONDO"jamaa hawatoki wote, kwani wanajifanya manunda sana!!leo ukipita mbagala kama hakuna kinachoendelea vile, Nadhani ili wasitumie pesa nyingi za kufanya operations, nyingi!!wafanye hivi"saa 10 alfajiri i unasambaza jwtz, mitaa ile korofi, halafu wao wanakuwa wamesimama tu kwenye maeneo hayo, hawasemi chochote kile!!ikifika saa 6 mchana, wanaondoka!!tayari umeshamaliza.
 
Hahaaa na kweli ww ni mchawi mweupe maana unataka hawa machinga wafe na njaa
Ila kwa dar bila operation ya "MGUU WA KICHWA, MGUU WA SHINGO" WEKA UGOKO, NISHUSHE NONDO"jamaa hawatoki wote, kwani wanajifanya manunda sana!!leo ukipita mbagala kama hakuna kinachoendelea vile, Nadhani ili wasitumie pesa nyingi za kufanya operations, nyingi!!wafanye hivi"saa 10 alfajiri i unasambaza jwtz, mitaa ile korofi, halafu wao wanakuwa wamesimama tu kwenye maeneo hayo, hawasemi chochote kile!!ikifika saa 6 mchana, wanaondoka!!tayari umeshamaliza.
 
Hili zoezi kwakweli lilikuwa limechelewa. Walau sasa kidogo tunapumua na baadhi ya maeneo yanapitika ila bado inabidi kukaza zaidi. Hilo la frem mwenyewe naweza kulithibitisha mana miongoni mwao kuna watu wanao uwezo wa kupangisha fremu.
 
Mada yako iko supported na weak fundamentals..

Bado hujaniambia ni kwa namna gani hii sera ya kuwatimua wamachinga itaongeza uchumi..

Kafanye research upya
Maelezo yangekuwa marefu mno nimefupisha. Ila serikali itaongeza makusanyo sababu ya frem za maduka mapya mtaani. Fanya utafiti hata ww frem zinazopangishwa kwa sasa, zingine zilikuwa zimefungwa zinafunguliwa.
 
Nashauri neno 'kutimuliwa' lisitumike maana linaleta hali fulani ya kama uhasama na kutojali hivi. Nashauri 'kupangwa upya' au linalofanana na hilo litumike. Hawajatolewa bila kuonyeshwa maeneo mengine ya kwenda
😁😁Kweli
 
Maelezo yangekuwa marefu mno nimefupisha. Ila serikali itaongeza makusanyo sababu ya frem za maduka mapya mtaani. Fanya utafiti hata ww frem zinazopangishwa kwa sasa, zingine zilikuwa zimefungwa zinafunguliwa.
atusubiri tuone mapato kama yatapanda haid kufika trillion 2 mapato ya kikodi kwa mwezi hapo nitaona kweli zoezi ni jema
 
Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi?

Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama huingizii serikali kiasi chochote cha faida yako?.

Kwa sasa mitaani fremu zinapangishwa sana na nyingine zimepanda bei. Naamini baada ya chinga wote kuondoka itaanza operation ya wasiolipa kodi,mtaa kwa mtaa,kila mtu kwa sasa ukienda manispaa mbalimbali kumejaa wafanyabishara wanaochukua leseni,hii ni dalili nzuri ya serikali kuongeza pato lake.
Nani kakwambia machinga alipi kodi.
Hakuna duka la jumla linaweza uza bila machinga
 
Maelezo yangekuwa marefu mno nimefupisha. Ila serikali itaongeza makusanyo sababu ya frem za maduka mapya mtaani. Fanya utafiti hata ww frem zinazopangishwa kwa sasa, zingine zilikuwa zimefungwa zinafunguliwa.
Sio kweli
 
Back
Top Bottom