uchumi

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Argentina: Waziri wa Uchumi ajiuzulu

    Waziri Martin Guzmán amejiuzulu wakati mdororo wa Kiuchumi ukiendelea kushika kasi katika Taifa hilo. Guzmán aliyehudumu tangu 2019 ameashiria kuwepo mgawanyiko ndani ya Serikali Inaripotiwa kuwa, Rais Alberto Fernández anatofautiana na Naibu wake, Cristina Fernandez de Kirchner kuhusu jinsi ya...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Dunia yakanusha Uganda kuingia uchumi wa Kati

    Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa ACT Wazalendo asema tofauti ya uchumi wa Zanzibar na Bara ni sawa na Mbingu na Ardhi, Visiwani hali mbaya sana

    Mohamed ambaye ni mbunge wa ACT Wazalendo amesema siyo sawa kabisa kuweka viwangoo vya kodi vinavyofanana kwa nchi za Tanzania Bara na Zanzibar. Uchumi wa Zanzibar na Bara ukiilinganisha ni sawa na mbngu na ardhi, Zanzibar hali ya uchumi ni mbaya sana. Chanzo: ITV habari
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

    Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%. Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaitosa Ukraine mdogo mdogo baada ya kuona kina ni kirefu na vikwazo havijaizuia Urusi kuendeleza vita wala havijateteresha uchumi wake!

    Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye hii vita. Na shetani anawatumia wote wanaohusika na vita hii ili kutekeleza agenda yake ambao ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka yatangaza anguko la uchumi, watu wafa kwenye foleni za kusubiri mafuta

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula. Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Samwel Makeja afikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi. Tumpongeze RC Kafulila kwa hili

    KATIBU WA AMCOS WILAYANI MASWA KORTINI KWA UHUJUMU UCHUMI. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Katibu Wa Chama Cha Msingi cha Ushirika (Amcos)cha Mbaragane katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu,Samwel Makeja katika mahakama ya wilaya hiyo kwa makosa mawili ya...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Felista Njau: Bajeti haijazungumzia Diplomasia ya Uchumi

    Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha Diplomasia ya uchumi katika kufafanua jambo hili alisema: "Katika bajeti sijaona kipengele muhimu...
  11. Bibititi1

    JamiiForums Tanzania Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chapati za mihogo ni chakula kizuri kwa afya pia kwa uchumi

    Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu. Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya kuchemsha au viazi vya kuchemsha na chai. Kwa kuwabadilishia tu unaweza kufanya hivi. Chemsha mihogo mpaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  14. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

    RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
  15. idoyo

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliipaisha Tanzania Afrika Mashariki, Mwinyi akaporomosha; Mkapa akaipaisha tena, Kikwete akaiporomosha tena

    .
  16. J

    JamiiForums Tanzania ITV wame suggest wanaopotosha suala la Loliondo wapewe kesi ya uhujumu Uchumi...

    ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣 Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana? ITV ombeni radhi
  17. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Mfalme wa watu wote

    Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  19. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Wazo lako la uchumi imara wa nyumbani :Self sufficient home based business idea

    Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi. Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hongereni Uganda kwa kuingia uchumi wa kati

    Kainchi kadogo ila wanajituma... Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday. According to official data, the nation’s economy stood at about $45.7 billion by the exchange rate method or $131...
Back
Top Bottom