uchumi

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Nilikuwa najiuliza maswali haya. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii. Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo. Nataka kuwauliza wenzangu. Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama? Naombeni majibu ndugu zangu
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Moshi: Juma Raibu ang'olewa aunganishwa na Ole Sabaya kesi ya uhujumu uchumi

    Ole Sabaya = Juma Raibu Juma
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

    👇 Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum #LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
  4. L

    JamiiForums Tanzania AfDB yapanga kuimarisha miundombinu ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuendeleza ujenzi wa miundombinu kama mojawapo ya njia mwafaka za kukuza uchumi katika bara la Afrika.
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kimkakati ya Ku stimulate uchumi

    Kwa mtazamo wangu Mama anafanya Vizuri sana na pia najua kuwa sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa wakati mmoja hata hivyo nimeona nichangie yafuatayo; Ili kuwa na makusanyo ya Kodi makubwa na ya uhakika na kutengeneza ajira nyingi kwa Vijana nafikiri ipo haja ya kutazama upatikanaji wa Mikopo...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara na reli viende sambamba na uchumi wa maeneo

    Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo vilivyokatwa na kung'olewa na wananchi kwenda kuuza na kujipatia fedha ya kujikimu. Tunapomimina hela za...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu ziangalie vizuri takwimu zetu za uchumi tusije kupata tabu mbele ya safari

    Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi. Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana. Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za uchumi wetu. Hasa takwimu za kilimo, Dunia inanyemelewa na balaa la njaa.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa China asisitiza utekelezaji wa sera za kutuliza uchumi

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu. Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa baraza la serikali la China, na kuhimiza juhudi za kuhakikisha uchumi wa taifa unaendeshwa kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tunisia yaandaa kongamano la uchumi kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika

    Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika. Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa UM asema mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaharibu utendaji wa uchumi wa Afrika

    Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika. Bw. Badawi amesema, mgogoro huo umesababisha ongezeko kubwa la gharama ya bidhaa za msingi barani humo...
  11. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Uchumi na Kilimo nawaomba kupata kitabu hiki

    Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research #natanguliza shukran
  12. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uchumi wa bluu?

    Wakuu salaam. Naomba kufahamishwa maana ya uchumi wa bluu. Asanteni
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine, Ujasusi, Majeshi na Uchumi

    Huu ni Mtazamo wangu TU. Katika vita zote kuna harakati kubwa mno nje na ndani ya uwanja vita,ambazo wanaopigana Kila mmoja hufanya ili kurahisisha kutaka kushinda vita.Harakati hizo ni Ujasusi. Watu wengi wamekua wakitoa maneno mbalimbali ya dharau na mashaka juu ya uwezo wa Kijasusi wa...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Maofisa watano wa TMDA waliokuwa na tuhuma ya kuhujumu uchumi waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Yule mzee alikuwa fiksi sana. Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
  16. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  17. ward41

    JamiiForums Tanzania Vita ya Russia na Ukraine imetikisa uchumi wa Dunia

    .Wote tumeshuhudia mfumuko wa Bei za bidha mbalimbali ulimwenguni kote. Kwanza tulishuhudia uchumi wa Dunia ukitikiswa na ugonjwa wa corona miaka miwili iliopita. Hali iliyosababisha uzalishaji kuwa mdogo kutokana na lockdown. Kwanini haya yanatokea? Hii hali mbaya ya uchumi itaendelea na kuwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!! Magufuli mkatuambia wa viwanda. Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU. Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!! Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
  19. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

    Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....
Back
Top Bottom