uchumi

  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mama na uchumi wa kati

    Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza familia jambo ambalo ni yofauti na sasa. Kutokana na mabadiliko ya kisiasa kiuchimi na kiutamaduni...
  2. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mikakati ya vita katika kuzinemesha nchi tajiri kwa kuzinyonya nchi changa, (Vita na Uchumi)

    Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia. Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:- Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi...
  4. Botolani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkaa: Zimwi litujualo

    Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti moto na kuutumia kupikia na kisha kwenye shughuli nyingine. Alipoanza kupika, ndipo mabadiliko makubwa...
  5. Msandawe Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jeshi la uchumi wa Taifa(JUT) na ufumbuzi wa maendeleo wa Taifa

    Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa. Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
  7. njasulu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tumejipanga kiasi gani na mdororo wa uchumi unaofuata ulimwenguni

    Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi. Chanzo chake Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  9. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinishia Tanzania mkopo wa Trilioni 2.4

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja. Taarifa...
  12. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyotengeneza helkopta

    Habari, ndugu jamaa na marafiki kwa jina naitwa Moris, nilizaliwa mkoa wa mara nilisoma na kumaliza masomo ya sekondari na kufaulu vizuri mkoani mara. Baada ya kumaliza masomo ya sekondari nili jiusisha na kazi ya ufundi umeme wa majumbani, ambapo kazi hii hapo awali alikuwa akifanya baba...
  13. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda. Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

    SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama. Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
  15. King_Villa

    JamiiForums Tanzania Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Intaneti Inakuza Uchumi wa Nchi na Kuimarisha Ustawi wa Watu

    Intaneti imefungua ulimwengu mpya kwa watu wengi duniani kote. Fursa nyingi zinapatikana hapa. Teknolojia hii inatoa fursa ya watu kuboresha maisha yao kwa kuwapa ajira na kurahisisha shughuli zao binafsi ikiwemo za kibiashara. Intaneti inafungua ufikiaji wa vitu vilivyokuwa si rahisi kufikiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuukalia uchumi ndio sasa inadhihiri

    Old is gold, ni kama alikuwa na maono fulani hivi ,pale Raisi wa mwanzo wa Tanzania Mwalim JK.Nyerere (Julius Kambarage Nyerere) alipowafurahisha wengi na kutupa msemo wa "Watanzania uchumi wanaukalia". Tuna gesi asilia,tuna mafuta ,tuna Uranium tuna mengi tu,itatu hivi ni lulu kwa Taifa...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya uchumi imenifanya nitafakari tulikotoka na tunakokwenda

    Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike. Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
Back
Top Bottom