Argentina: Waziri wa Uchumi ajiuzulu

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri Martin Guzmán amejiuzulu wakati mdororo wa Kiuchumi ukiendelea kushika kasi katika Taifa hilo. Guzmán aliyehudumu tangu 2019 ameashiria kuwepo mgawanyiko ndani ya Serikali

Inaripotiwa kuwa, Rais Alberto Fernández anatofautiana na Naibu wake, Cristina Fernandez de Kirchner kuhusu jinsi ya kukabiliana na matatizo ya kiuchumi ya nchi hiyo

Argentina inakabiliwa na changamoto mbalimbali Kiuchumi zikiwemo Mfumuko wa Bei wa 60%, sarafu dhaifu, pamoja na kupanda kwa bei ya Chakula na Nishati duniani

======

Argentina's economy minister, Martin Guzmán, has resigned as the country's economic crisis intensifies.

Mr Guzmán had been in office since late 2019 and led negotiations with the International Monetary Fund (IMF) over the restructuring of Argentina's debt.

He called for "a political agreement within the governing coalition" to choose his successor.

Argentina is struggling with 60% inflation and a weak currency, as well as global food and energy price rises.

Mr Guzmán stepped down after a week of economic turmoil, with the Argentine peso sliding against the dollar.

His departure leaves a big question mark over Argentina's future economic policy.

In a letter to President Alberto Fernández , Mr Guzmán hinted at internal divisions within the government.

But it is no secret that President Fernández is at odds with his deputy, Cristina Fernández de Kirchner, over how to tackle the country's economic problems.

In fact, Mr Guzmán announced his resignation while Ms Fernández was giving the latest in a series of high-profile speeches lambasting her own government's economic policies.

Ms Fernández, who was herself president from 2007 to 2015, is critical of what she sees as the government's failure to ease the financial burden on ordinary Argentines.

She and her supporters saw Mr Guzmán as excessive in his efforts to reduce the budget deficit and tighten monetary policy.

If Ms Fernández gets her way, the next finance minister will go easy on the fiscal rigour and increase the level of state intervention in the economy.

But that might prove a bitter pill for the IMF to swallow, with some financial analysts already criticising the Fund for not setting tough enough conditions in its latest $44bn debt deal with Argentina.

Source: BBC
 
Bidhaa kupanda imeathiri karibu 1/3 mbili ya dunian, au wanafikiri ni nchi mwao tu.
 
Zisije zikuwa ni mbinu za CIA ndio wanao chochea vurugu ndani ya Serikali ili iondolewe madarakani na kusimika Serikali ambayo ni pro America - US ilikasirishwa na Argentina kujiunga na kundi la BRICS, kama kawa kinacho fanyika pale ni mbinu za CIA kuihujumu Serikali ya Argentina ili iondolewe madarakani au Rais wa Argentina ambaye anaonekana kupendelea Taifa lake kujiunga na kundi la BRICS aondolewa madarakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom