uchawi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

    Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha. Baadhi...
  2. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa yanga umewalipa

    Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye uchawi wa kisasa kwa kizungu tunweza kusema modern witchcraft, uchawi huu unahusisha vitu kama vinne tu...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

    KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
  4. Pagani Zonda

    JamiiForums Tanzania Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na; 1. Vampire diaries 2. Supernatural 3. Riverdale 4. Legacies 5. Midnight mass 6. Shadow hunters 7. Teen wolf 8.The...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa. Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
  7. mambio

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli uchawi upo

    Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa. Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji lililojaa uchawi na husda

    Njia panda kila siku wanavunja nazi. Watu wanafuga majini na kurogana kila kona. Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu. Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
  9. Sajo

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

    Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli. Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

    Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi, Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi, Naona watu wamesimama pembezoni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoimaliza Simba ni uchawi wa wachezaji wao kwa wao

    Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI alichofanyiwa banda kapombe. Wanasimba tuamke hawa wazee waliopo SIMBA bocco mkude mikataba ikiisha wasepe...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna Maduka yanayotumia uchawi, yanavyoweza kumpumbaza mteja

    Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao! Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara Zipo kafara nyingi...
  13. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  14. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  15. W

    JamiiForums Tanzania Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Inastaajabisha! Siasa majitaka na uchawa zinadidimiza Taifa hili

    Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Titus Amigu: Maneno uchawi au mchawi kwa dhana za Kiafrika hayastahili kuwamo kwenye Biblia

    Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na nimesema kama kuna anayewajua awataje, atuitie au atuoneshe Nisikilizeni vijana na wasomaji wangu. Ni...
  19. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  20. The Eric

    JamiiForums Tanzania 'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

    Kwema! Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location matters provided other variable factors remain constant) 👈👈👈 Hiyo ndiyo Business Law. Huwa nashangaa...
Back
Top Bottom