uchawi

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ama kweli uchawi upo, hivi kweli Kibu Denis ni wakupewa namba Simba?

    Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
  2. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Wasioamini Mungu au uchawi wanaelezeaje hii?

    I am genuinely curious. Hii mnaelezeaje msioamini Mungu au uchawi? Kiranga Scars
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

    Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini wanashabikiaje mechi za kibongo ambazo huamini katika uchawi ili kupata matokeo?

    Wakuu najiuliza tu. Wachungaji na mashehe mashabiki Waumini na washiriki mashabiki. Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi. Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Mwinyi Zahera na uchawi wake mpirani

    Zahera ameisaidia Yanga kupata mafanikio kuliko mtu yoyote. Yule papaa ni mchawi. Kuna kipindi Yanga hawana hata hela ya kula ila timu inashinda anaenda kuwanunulia mihogo na juice ya jero. Baada ya kumfukuza kama mkurugenzi wa ufundi tutegemee Yanga kuyumba. Yule papaa ni mchawi wa soka la bongo
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

    Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
  7. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Simba wakiendeleza jadi yao ya uchawi

    Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini. Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba kutumia ndumba. Tufike mahali tuache mpira uchezwe, hizi kamati za ufundi hazitusaidii kwa lolote...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa mpira ni uchawi

    Dakika ya 44 Yanga hawajapata bao, nimejikuta natamani sana Yanga ifungwe. Moyo unaniuma kabisa, nahisi hii itakuwa roho ya kichawi kabisa!
  9. othiambo

    JamiiForums Tanzania Mama zetu wa Leo na uchawi

    Habari ndugu zangu Mimi si mwandishi mzuri Ila naamini itasomeka tu. Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo, Kiuhalisia kabisa hapo mwanzo ilikua ni jambo la kawaida sana kusikia mzee fulani anatisha sio wa kumpinga au kumchokoza leo mambo haya yamegeuka tena yamekua na madhara makubwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kama mtatolewa na timu inayojitafuta, mkubali pia timu yenu ni dhaifu inabebwa na waamuzi

    Sijataja mtu lakini nataka niwaambie kuwa, ukiachilia mbali uchawi wa vile vizee vyenu, mmekuwa mkibebwa sana na waamuzi na mmetumia sana pesa kuathiri wapinzani wenu nje ya uwanja. Sasa nijuacho kwenye mechi za kimataifa maamuzi huwa thabiti na mtalalamika sana kwa jinsi mlivyozoea kubebwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wapingana kuhusu Sheria ya Uchawi

    Wanasheria nchini wamegawanyika kuhusu ulazima wa Tanzania kuendelea kuwa na sheria ya uchawi au la. Wakati wengine wakidai sheria hiyo haihitajiki katika zama hizi za sayansi na teknolojia, wengine wametaka iendelee kuwepo ili kudhibiti imani za kishirikina na kupunguza madhara yake. Katika...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania UDSM Fanyeni tafiti jinsi ya kutokomeza panyaroad bila rungu wala risasi pia kutokomeza janga la ajira nchini achaneni na masuala ya uchawi!

    Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina! Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao. Sasa hivi kuna majanga makuu matatu, Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
  13. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Kipapai ni aina ya uchawi hatari unaotumika kuzubaisha na kuangamiza

    Huu ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa malengo maalum na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kuna kipapai cha kumfanya hakimu kupindisha hukumu, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo...
  14. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Zongo ni aina ya uchawi unaokaa machoni

    Siku zote uchawi hauwaminiki uwepo wake au nguvu yake ispokuwa kwa wale waliodhurika nao. Mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Coach Nabi na kwa hii hali kama Zalan wangeshinda ningeamini Uchawi Upo. Tuwaombee tu.

    Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
  16. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Inaonekana huko Pangani kuna uchawi mkali sana

    Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema "Ukitaka kuroga nenda Pangani." nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito. Copy to Mshana Jr BIN...
  19. amadala

    JamiiForums Tanzania Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

    Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni uchawi huu?

    Kwemah ndugu zangu? Moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwanafunzi wa chuo Dodoma, muda kidogo kama miezi 4 iliyopita niliamia katika nyumba moja baada ya kushauriwa na mama mmoja mkazi wa eneo hilo aliyekuwa anasimamia hiyo nyumba ingawa siyo yake, nilikuwa pia namtumia katika kujenga hiyo...
Back
Top Bottom