uchambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
  2. D

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji: Kitovu cha Elimu Bora

    Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na utelekezaji kwa uwazi, ushirikiano na uwajibikaji vilevile uwajibikaji unahusu majukumu ya wahusika au...
  3. C

    SoC03 Madhara ya Kukosekana kwa Viwango: Uchambuzi wa Kina juu ya Jinsi Sekta ya Kilimo Inavyoathiriwa na Ukosefu wa Ubora na Ushindani

    Utangulizi Kilimo na uzalishaji wa bidhaa za mifugo ni sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, ikiwapatia kipato watu wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Hata hivyo, kutokuwa na viwango madhubuti vinavyosimamia sekta hii kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinazuia uwezo wa...
  4. SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora huleta mabadiliko thabiti katika nyanja mbalimbali

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
  5. Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

    Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari. Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo...
  6. V

    SoC03 Uchambuzi juu ya uwajibikaji katika kupunguza ongezeko la taka za plastiki

    Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia athari za plastiki katika mazingira na afya, pamoja na uwajibikaji kwa wananchi,serikali,mashirika...
  7. SoC03 Umuhimu wa Uwajibikaji katika Maendeleo ya Jamii: Jinsi Wananchi Wanavyoweza Kuchangia na Uchambuzi wa Viwango vya Uwajibikaji katika Sekta Tofauti

    UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii. Ni jambo ambalo linahitajika kwa kila mmoja wetu kuchukua...
  8. B

    Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
  9. Uchambuzi wa akili na mitazamo ya wanaoiunga Mkono Ukraine au Russia,

    Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita. Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine...
  10. D

    Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  11. K

    Wakali wa uchambuzi wa siasa za kimataifa! IBRAHIM RAHABI vs JOSEPH KENEDY

    Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
  12. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  13. Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  14. Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

    Kwema Wakuu! Nilikuwa nafuatilia mkasa uliokuwa umeletwa siku tatu nyuma na ndugu nokwenumuya, akiwasilisha malalamiko yake kuhusu uonevu na dhulma inayofanywa na tajiri mmoja aliyemtambulisha Kwa jina la Saalah Dhidi ya Eliud. Nikaona nitoe uchambuzi Kwa uchache ili kama taifa tuwezi kujifunza...
  15. Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako. Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za Njombe mjini,Vijijini, Makambako, Wangingombe na wakinga-Halamashauri ya Makete na Halamashauri ya...
  16. D

    Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

    Sitapenda kuchimba sana kwenye mgogoro wa ndoa Lakini naomba kusema machache kwenye sura ya usalama wa kila mmoja kwenye mgogoro huo! Ukitazama kwa juu juu unaweza kushangaa kwanini mambo yao ya ndoani yameifikia jamii. Lakini ukitafakali sana unagundua sakata lao ni sawa na moto, ulianza...
  17. Uchambuzi wa Hotuba ya Kenani Kihongosi Chuo Kikuu Mzumbe (Morogoro)

    Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
  18. Uchambuzi wa mgogoro wa kimkataba kati ya Yanga SC na kampuni ya Sportpesa

    Wasaalam, Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna dhamana na nchi yetu na ndio walipa Kodi lakini watu wachache wanaingia mikataba au mikopo kisirisiri...
  19. Uchambuzi wa ziara ya Rais Samia aliyoifanya Davos na Dakar, Bashe amtaja Mr Kuku kuwa anafuatiliwa

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Nyasebwa Chimagu wakizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya Rais wa...
  20. UCHAMBUZI: Hoja za NECTA kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora hazina mantiki kwa 100%

    Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…