Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila.
Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine.
Hakuna serikali yoyote inayopenda mwananchi auwawe kutokana na tabia yake njema au mbovu. Kuwa na tabia njema au mbovu haina maana uko salama mbele ya mikono ya watu wenye nia ovu juu yako. Kila mtu anakazi yake inayomuingizia kipato iwe njema au mbovu ni kazi yake.
Ushoga na usagaji ni kazi kama ilivyo ujambazi n.k. Katika harakati za pesa huwa kuna kuzulumiana au kukosana na wengine mnaoshiliki nao dili la pesa. Hivyo watu hao wakiamua kutekeleza nia ovu ya kisasi huwa haibagui kwamaba huyu ni shoga tumuache na yule padri tumuue.
Mauaji ya milembe kwanini tusiyahukumu kama mauaji ya kisasi, kibiashara, kikazi au pengine kishirikina? Inakuwaje wanaharakati mkimbilie kutuhumu kwamba kauwawa kwasababu ni msagaji?
Napata mashaka makubwa na mienendo ya Fatuma Karume na Maria Sarungi. Kauli zao ni uchonganishi wa serikali na mataifa mengine.
Wataficha wapi sura zao kama upelelezi ukibaini kinyume, mfano aliyeuwawa alikuwa miongoni mwa watu waliokula njama na kugeukana katika utoroshaji dhahabu?

- Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga?
- Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Wafanyabiashara wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga?
- Albino wangapi wanauwawa hamsemi ni ushoga?
- Mapadri wangapi wanauwawa kwanini hamsemi ni ushoga?
- Masai wangapi wanashambuliwa hamsemi ni ushoga?