Anaandika Almalik Mokiwa
Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM)
Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
Wasaalam,
Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna dhamana na nchi yetu na ndio walipa Kodi lakini watu wachache wanaingia mikataba au mikopo kisirisiri...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Nyasebwa Chimagu wakizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya Rais wa...
Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
Kwa mujibu wa BBC
Kwakweli ndio maana Urusi inapaswa kukubali tu yaishe kama Poland itapeleka Leopard 2 Uingereza itapeleka Chalenger Us ikapeleka Abram,T90 ya Urusi haitakuwa na kazi tena
Souce: BBC News Swahili
Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu!
Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja.
Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.
Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa...
Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji.
Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!
Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!
Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Habari za muda huu wana Jf .
Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi.
Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
Habari za muda huu wana JF
Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia.
Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
Anaandika Robert Heriel,
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism).
Ukisema Ukristo ni mtoto...
Brethren,
NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari.
Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
Haji Manara naye na uchambuzi wake
Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani".
George Hagi, Mromania Star zaidi katika football na aliyetamba sana World Cup ya 1994 kule USA, alifunga goli kama hilo...
Tanzania ni nchi kongwe katika Ukanda wa Afrika na Afrika Mashariki, Tanzania ina mchango mkubwa katika ustawi na usalama wa nchi za Afrika Mashariki na Kenya ikiwepo.
Urafiki wa Tanzania na Kenya ni wa muda mrefu na urafiki huo umechanganyika kwa udugu wa damu kutokana na kuoleana jambo...
Picha yake Mwanahashima binti Sheikh. Shairi la Mwana Kupona lilitungwa ili kumnasihi jinsi ya kuwa mke mwema. Shairi hili lilitafsiriwa 1934 na Alice Werner na William Hitchens kwa mada ya kiingereza ‘wifely duties’ | Credits: Werner & Hitchens.
Nagema wangu binti,
Mchechefu basanati,
Upulike...
Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia 75 ya utekelezaji.
Kwa ufupi Lipumba amechambua mambo kadhaa katika uongozi wa Rais Samia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.