uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka maalum kwa wananchi kabla ya Uchaguzi

    Ninawiwa kuandika waraka wangu binafsi kwa waTanzania kuhusu umuhimu wa kupiga kura na kuchagua mgombea ngazi zote kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo: 1. Binafsi mimi nitapiga kura lakini nimetafakari na kuamua kumpigia kura mgombea mwenye kujitambua na anayejali maslahi ya wananchi na nchi kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi wekeni taarifa wazi kuhusu eneo, muda na tarehe yakuapisha Mawakala

    Tume ya uchaguzi zipo taarifa za wakurugenzi kutoa taarifa zinazokinzana za vituo, muda na tarehe kuapishwa mawakala. Tokeni adharani mweke ratiba wazi watu wasome nakuteleza. Itashangaza kusikia wapo mawakala wameshindwa kuapa. Ikumbukwe kwenye uteuzi figusu zilianza kama rumas lakini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akishinda Urais, Nchi imeshinda, Afrika imeshinda

    Habari za Jioni wana Nzengo! Sasa iko wazi kutokana na umahiri, uwezo, nia na ari aliyonayo Mh Tundu Lissu Mgombea wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ktk ngazi ya Urais atashinda uchaguzi huu. Mbingu na Ardhi vimethibitisha hilo. Kwani kila anapopita ni shangwe na vigelegele kwa kuwa ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika Uchaguzi huu, WAZALENDO tutawashinda MABEBERU

    Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao. Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?. Tafakari sababu hizi kumi kisha uchague upande wa kuunga mkono...
  5. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Misingi ya katiba yetu na uchaguzi mkuu: CCM na viongozi wa dini mnaijua/ mnaikumbuka/ mmeisoma?

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo ni uhuru, haki, udugu na amani. Nukuu yake ni: "KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa wazi na haki kama CCM maoni, ungetutibu sote

    Amani ya nchi hii ilikuwa ya thamani mno kiasi kumtaka kila mmoja wetu kufanya yote yawezekanayo kuhakikisha kuwa hatutetereki lilikuwa si jambo la kupuuzwa. Tume kwa kuendesha uchaguzi wa wazi na wa haki tu kungefanya mamlaka zote (hasa za kutumia mabavu) kubakia likizo. Walishindwa waziwazi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakili Jebra Kambole: Tutazuia uchaguzi kutokana na suala la mgombea binafsi kutofanyiwa kazi

    Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali yatakiwa kujibu kabla ya tarehe 22/10/2020, tutazuia uchaguzi.
  8. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama pekee Afrika chenye wanachama wengi

    FACT KUELEKEA UCHAGUZI:- MTAJI WA WAGOMBEA. Na Thadei Ole Mushi. Ccm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na Jumla ya Kura Milioni 11,111,500 (Milioni Kumi na moja,Laki Moja,kumi na Moja elfu na miatano). Ipo hivi Jumla ya matawi ya CCM nchi nzima na yaliyoshiriki Kura za maoni Ni 2,22,230 kila...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hata ya uchaguzi mkuu ufanyika tumeanza kuona madhaifu ya wapinzani?

    Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani. Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais atakaeshinda: Uza Dreamliner zote, nunua ndege ndogo hata 30 na achana na route za nje

    Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi. Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
  11. Patrick Girigo

    JamiiForums Tanzania Kila mmoja akitimiza wajibu wake atakuwa amesaidia kujenga nchi nzuri

    Uchaguzi Mkuu wa 6 kwa mfumo wa Vyama Vingi Tanzania utafanyika tarehe 28/10/2020 siku ya Jumatano na kwa Mara ya kwanza unafnayika siku ya Kazi ambayo kwa umuhimu wake Serikali imeaamua kuifanya siku hii ya Uchaguzi kuwa ya Mapumziko--hili linahitaji Pongezi nyingi sana maana litaleta hamasa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mahera: Kuna watu wana chokochoko, wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria kuepuka shari

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Dkt.Charles ametoa agizo hilo wakati anafungua mafunzo ya uchaguzi kwa wasimamizi wa...
  13. Mzalendo2015

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo Bora kabisa wa Kampeni Uchaguzi Mkuu 2020

    Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni. Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA" Sikiliza mwenyewe then put your comment.
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

    Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

    SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Ukweli na Ubatili. Wanaojielewa, kujitambua na kutaka maendeleo ya kweli, watachagua ukweli. Wewe upo kundi gani?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours! Declaration of Interest Japo mimi Pascal Mayalla ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ila mimi ni Kada...
  17. maroon7

    JamiiForums Tanzania Umeme kukatikakatika Dar kipindi cha uchaguzi ni ishara nzuri

    Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini. Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amtembelea Balozi wa Marekani, wazungumzia uchaguzi!

    Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu. Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

    Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake. Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo...
Back
Top Bottom