uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  2. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Leo Siku ya maombi kuombea uchaguzi na kumuombea mgombea wa urais

    Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wiki ngumu na ya kihistoria kwa Tume ya Uchaguzi. Kumtangaza aliyeshindwa au aliyeshinda

    Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo. Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika akiwaonya hawa anaowateua halafu asikie wamemtangaza mpinzani. Kwa upande wangu wasiwasi wangu uko...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mungu Tunaohubiri Amani Uchaguzi Mkuu, someni ISAYA 32:17

    Isaya 32:17 Nanukuu "Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE
  7. tramadol

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

    Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini. Majority ya Watanzania wana imani kubwa...
  8. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Upinzani visiwa vya Ushelisheli washinda uchaguzi wa Rais baada ya miaka 43

    Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli. Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya Hindi Afrika Mashariki. Kiongozi anayeondoka madarakani ni Danny Faure ambaye amekuwa katika uongozi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam! Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Uchaguzi uwe wa haki na uhuru

    Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu! Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

    Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano. Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama...
  13. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kufungua biashara mara tu baada ya kupiga kura Oktoba 28? Utaratibu kabla ya kutangazwa matokeo ni upi?

    Habarini NDUGU ZANGU, Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
  16. kajekudya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi. Kama Kuna mtu anawaza hivo na anamanisha na ana amini Mawazo yake hayo yanaweza kuwa...
  17. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

    Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je vioja vya Tume za uchaguzi ndio vinatuwakilisha waTanzania wote Jinsi tulivyo ?

    Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani. Tume wangejiandaa kwa wizi sio...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu viongozi wanapaswa kutumia akili zaidi kuliko maneno ya kujenga hofu na vitisho!

    Dunia imeshabadilika na mambo yanaenda kwa kasi sana ndio sababu Rais Kagame amemteua kijana wa miaka 19 kuwa waziri wa teknolojia. Katika dunia ya leo Zitto Kabwe na Dr Kigwangalla siyo vijana tena bali ni wazee na hata Anthony Mavunde, MwanaFA, Prof Jay hawaitwi vijana kule mtaani ila...
  20. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

    ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini? Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini. Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
Back
Top Bottom