johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,834
Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu.
Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa kwa amani.
Dr Kitima amewataka watu wote wenye mapenzi mema kusoma Waraka wa Paulo mtume kwa Warumi kujua wajibu na umuhimu wa kuchagua viongozi kama Mungu anavyotubariki.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!