Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Dkt.Charles ametoa agizo hilo wakati anafungua mafunzo ya uchaguzi kwa wasimamizi wa...
Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni.
Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA"
Sikiliza mwenyewe then put your comment.
Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote...
SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi
Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours!
Declaration of Interest
Japo mimi Pascal Mayalla ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ila mimi ni Kada...
Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.
Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani...
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo...
Jambo lolote lile huweza kutengenezwa kwa muda mrefu sana lakini maaribifu au kuuaribu uzuri wake ukachukua majuma mawili tu.
Sababu ya kuyaandika haya hapo ni kuwaomba viongozi wetu wa ngazi zote husika za kiserekali kuitumia hekima yote ile iliyo kuu ili kuweza kuiepusha nchi yetu dhidi ya...
Nianze kwa kusema wazi kuwa maendeleo ya watu huwezi kuyatenganisha na maendeleo ya vitu kwa namna yeyote ile wazungu wanasema (the are interwovened) hivyo maendeleo yaliyofanyika kwa kuzingatia mahitaji ya watu na tumefaidi na tunapaswa kupaza sauti zetu dhidi ya wanaopotosha ni pamoja na:
1...
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi...
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
Mimi nikiwa mzalendo mkereketwa na muumini wa maendeleo ninamjulisha Baba Askofu Bagonza kuwa mimi ninaenda na mitano tena na siyo mitano kwanza kwa sababu zifuatazo:
1.mitano tena itaendelea kutuletea neema ya maendeleo yaliyokwisha anza
2 mitano tena ina uzoefu wa kuliongoza taifa na kulivusha...
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au...
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao.
Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
Wadau,
Huu ni uzi wa swali.
Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake.
Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.
Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM.
1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.