uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Wakurugenzi wangebadilishwa vituo vyao vya kazi

    Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka. Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami nakubaliana naye kwa 100% ila namwomba kwa Wakurugenzi angewabadilishia vituo vya kazi ili kuongeza kasi ya...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania The Shift of Political Diplomacy to Economic and Security Diplomacy

    Esteemed Great Thinkers There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed. The country has to vigorously engage in strategic economic...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

    Hii ndio habari mpya baada ya bunge kuzinduliwa .
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Kweli itaweza kuwa suluhisho kukubali matokeo ya uchaguzi?

    Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi Wenzetu wazungu (USA, U.K...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  8. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushahidi wa mambo ya kusikitisha katika uchaguzi mkuu wa 2020

    Wana JF, Huu uzi ni wa kumbukumbu. Weka hapa mambo yote ya kusikitisha yaliyotokea katika uchaguzi mkuu wa 2020. JF ni sehemu ya kuelimishana na kutunza kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Bila kujali mwelekeo wako kiitikadi, tafadhali weka hapa picha, video, maelezo, ama visa vya mambo...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Aidan Khenan achangia kwa mara ya kwanza Bungeni, asema hana mashaka na uzoefu wa Tulia Ackson katika nafasi ya Naibu spika

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aidan Khenan leo alikuwa wa kwanza kuomba kuuliza swali baada ya Dkt. Tulia Ackson kuomba kura kuwania nafasi ya wabunge kuchagua kuwa naibu spika. Nalo swali lake lilikuwa kama ifuatavyo ======== Aida Khenan: Mheshimiwa spika nakushukuru, napenda...
  11. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kujifunza kutoka kwa uchaguzi wa Marekani

    Wana bodi, Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime wezekana kwa wao kukataa ku shawishika kwa njia yoyote kufanya yasiyo sahihi. Vile vile katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kabla ya hii miaka mitano haijaisha, uwezo wa Mungu utakuwa umejidhirisha kwa wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi

    Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii...
  13. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi tata duniani uliongia kwenye kitabu cha Guinness

    Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda Thomas J.Faulkner wa chama cha Peoples Party General elections. Uchaguzi huo ulichukuliwa na aliyekuwa...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu sana kwa pande zote

    Wakati naelekea kukabidhi kijiti kwa vijana wenzangu kukisemea chama na Serikali mitandaoni nimeona nitoe mtazamo wangu kuhusiana na Uchaguzi wa 2025, ambao Mwenyenzi Mungu akijaalia natazamia kushiriki kama mgombea kupitia moja ya majimbo Nyumbani Arusha. Kwanza nitoe Pongezi kubwa kwa Mh...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi 2020: Asiyeridhika achukue hatua za kisheria na si kuleta ghasia ambazo zitawaumiza watu wa kawaida

    Tarehe 28 Oktoba 2020 imekuja na kupita. Uchaguzi umefanyika na matokeo tumeyapata. Mwenye kushinda ameshinda, na mwenye kushindwa ameshindwa. Kilichopo sasa ni kukubali matokeo na kurudi kuchapa kazi. La kama huridhiki na matokeo, kuna njia halali za kufanya kutaka suluhu. Kwa mfano Mama...
  16. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umetusaidia kuondoa ujinga wa CHADEMA

    Leo 11:35hrs 07/11/2020 Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Adelardus Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Magufuli kutofanya mabadiliko watendaji wa Serikali, Mawaziri kubadilishwa

    Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli. Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
Back
Top Bottom