uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Maono yangu tunapoelekea 2025

    wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine. Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli. Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM. Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu. Ameishangaa kuengua wagombea wa vyama mbalimbali bila kuzingatia katiba badala yake kutumia vigezo dhaifu ktk kumuengua mgombea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania raha sana ila mauaji na mateso wakati wa uchaguzi yanatuharibia aina ya maisha yetu

    Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu kama nchi na raia wake. Tulizoea uchaguzi kama moja ya starehe za ndani ya nchi kwa miaka kumi au...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana kazi ya kumtafuta Lissu wa kipindi cha Uchaguzi ili kuyaelewa haya

    Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM. Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn tumejifunza kuwa kuna mambo ambayo hayakuibuliwa ndani ya ilani ya CCM na yameibuliwa ndani ya ilani ya...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni dhahiri kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, Watanzania tulishajifunza

    Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020. Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura zilizokamatwa Kawe hauna mashiko,watu waliupuuza mapema. Na mpaka sasa Halima amethibika kuwa mhuni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania 2025 watafanya waliyoyafanya mwaka huu wa 2020, kisha watesema uchaguzi umwikisha tufanye maridhiano

    Hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na ACT, ni geresha tu, na hapa CCM wana-buy time lengo likiwa ni kujipanga kwa 2025. Binafs naona haya ni maridhiano baina ya wanasiasa juu ya namna gani watagawana keki ya taifa na si maridhiano kwa faida ya Wazanzibar unless wanatuambia wamekubaliana...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake. Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange yajayo na sasa ni rasmi Zanzibar imetulia. Huku Tanganyika bungeni vyama vya upinzani wamejaa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tume ya Uchaguzi Uganda yatishia kumuadhibu Museveni endapo hafuati masharti katika kampeni

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda jaji Simon Mugenyi Byabakama, amesema kwamba tume hiyo haitasita kumchukulia hatua rais Yoweri Museveni ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha National Resistance Movement – NRM, endapo hatafuta sheria za kampeni zilizowekwa na tume. Kulingana...
  10. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  12. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgombea wa upinzani wa Uganda ashinda Tume ya Uchaguzi kulalamikia manyanyaso ya Polisi

    Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi ameshinda katika makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuwasilisha lawama za namna wanavyohujumiwa na kunyanyaswa na vyombo vya usalama. Mgombea huyo maarufu kama Bobi Wine alisitisha kampeni zake hapo jana wakati walinzi wake wawili...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nafsi zinawasuta: Mnatambua uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki. Mnacholilia ni kukosa Wabunge

    Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi. Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Athari za Uchaguzi Mkuu, Azam TV wapandisha bei za vifurushi?

    Wakati wanazindua mzigo mpya 'Bazzika' walijifanya wanapunguza bei za vifurushi lakini kiukweli WAMEPANDISHA BEI. Hawa ni wapigaji kama wapigaji wengine. Wangebakiza channel za vifurushi husika kama zamani, kwa mfano: Vifurushi vilivyokuwa vinapatikana ndani ya Azam Lite ya Sh. 10,000/=...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuapisha Wabunge waliochaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu Kanuni za Kudumu za Bunge Kifungu cha 30 (2) kinaeleza; Endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu Spika atamuapisha katika: b) Kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge au; b) Eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

    Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:- 1. Katika taarifa yako kwa Umma umedai kuwa ulipokea majina hayo ya wabunge wa viti maalum, toka kwa...
  19. masara

    JamiiForums Tanzania Vodacom(mitandao ya simu) wekani uchaguzi wa mteja kutumia mastervcard ipi kama kasajili zaidi ya moja

    za mda huu wadau, mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili mastercard zaidi ya moja kwenye laini ya simu moja lakini pale anapotaka kutumia card fulani hakuna...
  20. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Wanachosubiri wanachama wenu mnakijua: Ni uchaguzi dhidi ya dola au umma

    CHADEMA wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa...
Back
Top Bottom